Hivi kwanini wanaume wana tabia hii?

Mm binafs nafurahia sana sabbu najua ni mtu mwema pia napenda kuwa karibu na wat Kwa Nia njema isiwe zaidi naamini mahusiano mara nying huishia kuwa uadui
Kweli nimekuza Mjukuu 😜
 
Yaani mtoto wa kike kutongozwa tu, uzi tayari...
 
Tatizo lenu wanawake misaada yenu ina mipka na ukomo na masimango juu.
Jamaa umemsadia ndio kaenda karudi kuhitaji msaada tena unaona nongwa na kuyaleta huku?
 
Si kawaida kwa mdada wa kitanzania kumsaidia tu mwanaume.
So, ukifanya hivyo mwanaume atakuwa attracted.. anahisi wewe ni mtu mwema au labda umempenda ndiyo maana ukamsaidia.
 
Una bikra πŸ€”
 
Sasa kutongozwa nako ni kitu cha kulalamika toa maku watu wakule
 
Ukiona anakutongoza basi anataka tena msaada kama huo! hayo sio mazoea ni uwezo wako tu wa kuelewa ni mdogo
 
Sasa huyo ndio binadamu, sio hizo dipresheni zingine.
Depresheni tena πŸ˜‚
Mi kuna mdada nilimsaidia sikuzingatia namba nikaja kukutana nae kama mwezi baadae hivi akaniuliza mbona sikuchukua namba, chukua namba yangu au nipe yako, nikampa. Huwa hachoki kunijulia hali.
 
Kama hutaki kutongozwa omba msaada kwa wanawake wenzio, shubaamit
 
Mm binafs nafurahia sana sabbu najua ni mtu mwema pia napenda kuwa karibu na wat Kwa Nia njema isiwe zaidi naamini mahusiano mara nying huishia kuwa uadui
Ni rahisi sana urafiki kuwa mahusiano ila ni ngumu sana mahusiano kuwa urafiki, mkishaingia ndani ya mapenzi ikitokea mkaachana tayari kuna uadui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…