G
Sababu kuu ni Kufuata Sheria ya kiislamu ya kujiepusha na zinaa.Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Wacha weee πππSababu kuu ni Kufuata Sheria ya kiislamu ya kujiepusha na zinaa.
Wanawake wa dini nyengine hawajalelewa kwenye misingi hiyo ndio maana unamkuta mwanamke under 20 sio bikra tena . Nani atamuoa wakati kashatumika, hiyo ni kiashiria tosha kwamba ata ukimuweka ndani Kuna asilimia kubwa ya kuendelea na uzinifu wake. Hakuna kutoa mitumba .
Wanafeli hapa mkuu πππTunaoamini bikra Maria ni mama wa Mungu, mabinti zetu wanafeli wapi?
Bora kujua kuliko wewe unayejificha huko et kisa unaogopa dini yako hairuhusuSasa kama wanakubali kushare dudu ya mwanaume mmoja anayewalaza kwenye nyumba moja kwa nini wasionekane kuolewa sana. Mwanaume mmoja unakuta anao hadi wanne wanashare kiroho safi.
Kwa kweli wana roho safi sana hata mimi natamani nioe wa upande ule ili niwe nao wanne.
Nikuongezee na nyingine, watoto wa kike wa Kiislamu ndiyo wanaoongoza kuzalia nyumbani kwao.Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Me niliowa mwislamu NAMSHUKURU YESU mwaka huu amebadili DINI amekuwa MSABATO anaendelea kuuona ukuu wa YEHOVAHivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Me niliowa mwislamu NAMSHUKURU YESU mwaka huu amebadili DINI amekuwa MSABATO anaendelea kuuona ukuu wa YEHivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
DuuhHizo ni ndoa au ushuzi. Wanawake wenyewe ndio hawa na ndoa yenyewe ndio hii. ππππView attachment 3405470
Au hii? ππππ
View attachment 3405471
sababu ni wasafi wa mwili na rohoHivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
mnaong'ang'ania mpaka mnaua ndiyo mko sawa?Wanaongoza kuolewa na kuachika Kuna mtu unakuta ana ndoa mpka nne na ni mwanamke
Astakafirullah astakafirullah msiba mzito huu
cc DIVISHENI FOO
Huwa unajisikiaje kusema uongo katika dini usiyoifahamu vizuriHao ni viburudisho vya wanaume.... unaoa asubuhi, jioni unaacha na dini inakuruhusu...... wanaume wa kiislamu wana mahali pa kuchezea ndiyo maana hata harusi, so called harusi huwa ni maandazi 2 au 3 na chai ya rangi na wali na maharage. harusi imeisha....
wenyewe ndoa wanita chuo na ni sifa kupita vyuo vingi, utakuta wanawake wenyewe wanajisifia, eeh mi ndyo niko chuo (ndoa) cha sita hiki, watoto wa mibaba sita ya kabila tofauti πKuna wadada wawili mmoja mpaka sasa hii ndoa aliyonayo ni ya nne, mwingine mwaka 2000 aliolewa 22 akaachika,23 mwishoni akaolewa,hakukaa hata miezi sita,juzi ananiletea kadi eti anaolewa,nikabaki nacheka yaani ndani ya miaka mitano ndoa nne?
Hata kama kuna urahisi kiasi hicho,basi acha waolewe ila kwa waislam ndoa ni kama mvuta sigara,akimaliza haja yake anatupa kishungi,ndoa hazina heshima
kusema uongo inakupa thamani yoyote?Kwa wenzetu mwanamke akiolewa na kuachwa mara nyingi ndio anazidi kuheshimika mtaani:
Kila ndoa wao wanaita ni chuo:
Ukisikia "mimi nina vyuo saba" maana yake kaachika mara saba:
Halafu jambo la kuachika kwao hawalichukulii uzito mkubwa:
Wengine wanaolewa ili waachike ili wapande vyuo vingi na kuheshimika zaidi na jamii zao:
Makungwi wao ni wale walio achika mala nyingi zaidi:
Kiukweli wenzetu wapo katika dunia yao:
Kamwe hatulingani nao
anachosema ni kweli, huku maeneo ya pwani unakutana na msichana anasema amepitia vyuo 6 (talaka 6), ana watoto wa ndoa sita tofauti, makabila tofautikusema uongo inakupa thamani yoyote?
nakinyume chake ni hvo hvo..kwanza hawana mambo mengi ni mkeka tu mambo yanaisha.Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine