wameachika kidini , na wanaume wakaoa wanawake wengine, kujua hilo kama unaishi kwa hiyo jamii husika unatakiwa uwe genius kuelewa??? naishi kwenye hiyo jamii wenyewe ni majority kwa huku pwani, dini nyingine ni wakuja na hakuna hiyo trend ya divorceUnawezaje kudhibitisha kwamba dini ndio inasababisha hayo?
Kumbe sijadanganya! OA, ACHA, OA, ACHA...unamchezea mtoto wa mwenzako........ anakwenda huko anaolewa anaachika nawe unachukua tena....hata kinyaa huna unamuona fulani barabarani kuwa alishatumbukiza humo nami natumbukza.....ndiyo viburudisho hivyo!Kuishi nao haikupi haki ya kuwazungumzia wote,badilikeni kusema uongo haikuzidishii chochote expert wangu
Katika Uislamu kuna talaka moja,mbili na tatu,
Hizi zote zina hekima yake,talaka moja na mbili zinaitwa rejea kwasababu unaweza kumrejea mtalaka wako,hapa kuna mazingira mawili
Baada ya kumuacha kwa talaka moja au mbili,ikiwa kipindi cha eda hakijaisha unaweza kumrejea,lakini kipindi cha eda kikipita basi itabidi umuoe upya,kwa maana unaanza process za ndoa
Hekima yake ni kwamba,wakati mwingine watu wanaachana kwa mihemko tu na hasira za mda
Kwahiyo hii inawapa nafasi ya kuishi tena pamoja baada ya kutafakari changamoto zao na kuona umuhimu wa kuzotatua na kuishi tena pamoja
Talaka ya tatu hiyo ni ya mwisho,hapa wanandoa hawana tena ruska ya kurudiana,kwasababu mpaka wanafikia stage hii basi kuna shida kubwa
Na sharti ya wao kufunga ndoa tena,ni mpaka mke aolewe na bwana mwingine kisha aachike ndio aolewe na mume wake wa awali
Na udanganyifu wowote hautakiwi kwa maana upange dili uelewe na mumu mwingine kisha akuache ili urejee kwa mume wako wa zamani
Utawadanganya wanadamu lakini sio Allah
sio wote na leta mada amesema walio wengi, hakusema woteKuishi nao haikupi haki ya kuwazungumzia wote,badilikeni kusema uongo haikuzidishii chochote expert wangu
Ndio unaanza kunifanyia usaili wa kunipa mchuchu? Ujana ndio naumalizia malizia nataka nitulieAkuu. Hivi ujana ulikula na nani we Tiss. 🤣🤣
visa vya talaka tatu, jamaa ili amrudie mke aliyempa talaka 3, akamwomba rafiki yake amwoe halafu amtaliki chapu next 3 days bila kumla, ili apate kigezo cha kumwoa tena, wanandoa feki wapya walikulana wakagoma kupeana talaka, wakaendelea na MAUTAMU ya ndoa yao halaliNaishi nao, naona anaolewa siku mbili anarudi.... pia I do attend those sherehe za harusi, naona kinachoendelea.
kuna talaka rejea, maana yake nini? nakupa talaka, then unaweza kurejea tena au usirejee.
Talaka tatu.....hurudi tena ukitaka kurudi lazima uwe umeolewa tena na mwanamume mwingine ndiyo urudi? nadanganya?
Poleni sana my dearUuuuuwwwee baridi la huku jamaniii tunafreez
Amini unachoamini kama unajisikia happyKumbe sijadanganya! OA, ACHA, OA, ACHA...unamchezea mtoto wa mwenzako........ anakwenda huko anaolewa anaachika nawe unachukua tena....hata kinyaa huna unamuona fulani barabarani kuwa alishatumbukiza humo nami natumbukza.....ndiyo viburudisho hivyo!
Unamkuta mtoto wa kike ana mwanaume anazini naye, unachukua mkeka na shehe ndoa tayari....that much simple lazima waolewwe wengi sana.
Msichana anasema anataka nini kama mahari.... wengi huwa ni godoro! Naishi nao nawaona na ninahuhurria kwa nia njema tu
Utapenda mwanao afanyiwe hivyo?
Kuna jamii umalaya ni nature yao,kwahiyo huwezi sema uislamu unalibariki hilowameachika kidini , na wanaume wakaoa wanawake wengine, kujua hilo kama unaishi kwa hiyo jamii husika unatakiwa uwe genius kuelewa??? naishi kwenye hiyo jamii wenyewe ni majority kwa huku pwani, dini nyingine ni wakuja na hakuna hiyo trend ya divorce
sijasema dini imebariki, ila imekuwa ni changamoto ya kijamii, siyo kwamba dini inaruhusu, ila wanatumia hiyo fursa kwa nia mbaya, kwamba ni ruksa ku-divorce na kupata PISI mpya i.e ni abuse ya mfumo wa diniKuna jamii umalaya ni nature yao,kwahiyo huwezi sema uislamu unalibariki hilo
Damn. So yule jamaa aligeuza amri ya Mungu. Yani aliifanyia summersault. Kung fu style...Na sharti ya wao kufunga ndoa tena,ni mpaka mke aolewe na bwana mwingine kisha aachike ndio aolewe na mume wake wa awali
Na udanganyifu wowote hautakiwi kwa maana upange dili uelewe na mumu mwingine kisha akuache ili urejee kwa mume wako wa zamani
Wana maadili lakini pia wanadumu Kwa ndoa sio kama hao wa kutoka Kwa Waebrania 🤣🤣Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Pia ndo wanaoongaza kuachika kama manaraHivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Sasa kama manara anaoa na kuacha kila siku kwanini hao wasiongoze kuolewa?Wana maadili lakini pia wanadumu Kwa ndoa sio kama hao wa kutoka Kwa Waebrania 🤣🤣
Manara sio mfano huyo anafanya biashara zake ,Sasa kama manara anaoa na kuacha kila siku kwanini hao wasiongoze kuolewa?
Vipi kuhusu kuachika mkuu?Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Hata sijui nikusaidiajeDamn. So yule jamaa aligeuza amri ya Mungu. Yani aliifanyia summersault. Kung fu style...
Lakini mpinga Mkristo! ! !
“Ikiwa mwanamume ameoa mke na baadaye akawa hapendezwi naye kwa sababu ameona kwake kitu kisichofaa, basi, huyo mwanamume akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza nyumbani mwake, kisha huyo mwanamke akaondoka,
akaolewa na mwanamume mwingine,
kama huyo mume wa pili akimchukua, akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza nyumbani mwake, au kama huyo mumewe akifa,
basi, yule mume wa kwanza haruhusiwi tena kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wake kwa sababu alikwisha kutiwa unajisi. Kufanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu."
Kumbukumbu la Sheria.24.1-4.BHN
Wote wanafanya biashara tu kuna wale waoana mwezi mtukufu tu ukiisha kila mtu na lakeManara sio mfano huyo anafanya biashara zake ,
Hivi ukikusanya wa4 kwa mpigo unaruhusiwa kupiga 5sum ??Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?
Wanavaa vizuri hao wa kwenuni hovyoWote wanafanya biashara tu kuna wale waoana mwezi mtukufu tu ukiisha kila mtu na lake