Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umenikumbusha mbali Mkuu. Sijui waliwazaga nini hadi kukiita kishida.Inaitwa kishida hiyo
Arusha ndo lilikuwa neno kuu kipindi tunakua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha mbali Mkuu. Sijui waliwazaga nini hadi kukiita kishida.Inaitwa kishida hiyo
Kishida au Shimizi Waterloo?[emoji1]Inaitwa kishida hiyo
Mimi ninayo moja...Si haba[emoji38]Nilinunua mbili zipo tu sijawahi hata vaa tunavaa sana taiti
Yaani auntie zipo sijazifungua ipo siku tu zitavaliwaMimi ninayo moja...Si haba[emoji38]
Zina tabia ya kudondoka dondoka ndo maana tuliacha afu hazikai vizuri kwenye nguo za kubana zinajikunja. Ila tunayo moja ya emergency
Nilinunua mbili zipo tu sijawahi hata vaa tunavaa sana taiti
Miye nikajua hawavai hizi mamboView attachment 2441721
Kwanini mkuu angetoa nyekunduAngetoa hiyo nyekundu
Eeeeeeh Auntie..Yaani auntie zipo sijazifungua ipo siku tu zitavaliwa
JotoZilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai.
Shida nini wakuu?
He was a real man. Wengine wakiona upindo wa kyupi nyoka anatoka pangoni. Vijana kama hao siku hizi wamepungua sana kutokana na kula vyakula vibovuKuna jamaa yang mmoja enzi hzo alikuwa akiona huo ulesi lesi wa chini anapagawa hatari hadi anaweza kumwaga
Hazianikwi nje wakati wa kufua case closed 😀😀😀😀Wewe ulikua unazionaje? Maana wanazivaa ndani ya nguo ya nje. Ushafunua ngapi hadi umejua hawavai