Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2/10?Mkuu kwanini ujichoshe kutuma nauli mfuate tu huko huko alipo...
Very deep thought..Ni utamaduni tu au sehemu ya ukarimu wetu Wanaume kama sio kimbelemble chetu. Lakini ukimfanyia ukauzu (sikushauri ufanye) utashangaa anapata nauli au hata Pesa ya kukodi UBER kurudi aliko toka. Pia nahisi huwa na kipimo cha upendo wa uhusiano wa Wallet yako na mahitaji yake tarajiwa endapo mahusiano yatafanikiwa.
Unataka kusema wanaume wa zamani ealikua eanawatumia nauli wenzi wao? Je walitumia njia gani kufanya transactions...na pia je nikiea na wewe kwenye mahusiano ina maanisha ntagharamiA mahitaji yako yote ndo ujue nakupenda?Wanaume wa sikuhizi kwa kukimbia majukumu hamjambo
Wazamani waliishi kizamani hawakua na distance love kama sasa,,kunihudumia mahitaji ndio uwanaume huo mkuu mim lazima unigharamie kama wajibu wakoUnataka kusema wanaume wa zamani ealikua eanawatumia nauli wenzi wao? Je walitumia njia gani kufanya transactions...na pia je nikiea na wewe kwenye mahusiano ina maanisha ntagharamiA mahitaji yako yote ndo ujue nakupenda?
Kwann umeiweka huku siasani?Naombeni ufafanuzi kwa anaejua kwanini...
Hahahaaa. Wanasemaga hakuna majukumu kama hayo eti.Wanaume wa sikuhizi kwa kukimbia majukumu hamjambo
Yan kama wamerogwa hivi kweli mtu uniambie nije kwako na nauli nijilipie looh,,so papuch nkuletee bure tu hiyo kitu Hamna,,wanaume nawaambia tena kila mwanamke ana chembe chembe hai za kupenda pesa hata mkeo wa ndani asikufmdanganye mwanamke yeyote kuwa hajakupendea pesa that's a big liar wanawake tumeumbwa kupenda pesa jamani msitushutumuHahahaaa. Wanasemaga hakuna majukumu kama hayo eti.
Ila kazi ipo mwaya. Tutafutage za kwetu tu kwa kweli.
Zamani walikuwa hawatumiani nauli kwa kuwa walikuwa wanakaa karibu sio siku hizi mtu unakutana nae insta au facebook yuko zake Arusha unataka aje Dar lazima utume nauli. Zamani tulikuwa tunarusha jiwe juu ya bati mtu anaelewa anatoka mnaongea. Siku hizi mtu unachat na mdosho mpk saa tisa usiku kwa simu.Unataka kusema wanaume wa zamani ealikua eanawatumia nauli wenzi wao? Je walitumia njia gani kufanya transactions...na pia je nikiea na wewe kwenye mahusiano ina maanisha ntagharamiA mahitaji yako yote ndo ujue nakupenda?
That is how being a man is[emoji8]Zamani walikuwa hawatumiani nauli kwa kuwa walikuwa wanakaa karibu sio siku hizi mtu unakutana nae insta au facebook yuko zake Arusha unataka aje Dar lazima utume nauli. Zamani tulikuwa tunarusha jiwe juu ya bati mtu anaelewa anatoka mnaongea. Siku hizi mtu unachat na mdosho mpk saa tisa usiku kwa simu.