Hivi kwanini wanawake wengi hawanaga nauli ukiwaita kwako?

Ni utamaduni tu au sehemu ya ukarimu wetu Wanaume kama sio kimbelemble chetu. Lakini ukimfanyia ukauzu (sikushauri ufanye) utashangaa anapata nauli au hata Pesa ya kukodi UBER kurudi aliko toka. Pia nahisi huwa na kipimo cha upendo wa uhusiano wa Wallet yako na mahitaji yake tarajiwa endapo mahusiano yatafanikiwa.
 
Very deep thought..
 
Wanaume wa sikuhizi kwa kukimbia majukumu hamjambo
Unataka kusema wanaume wa zamani ealikua eanawatumia nauli wenzi wao? Je walitumia njia gani kufanya transactions...na pia je nikiea na wewe kwenye mahusiano ina maanisha ntagharamiA mahitaji yako yote ndo ujue nakupenda?
 
Wazamani waliishi kizamani hawakua na distance love kama sasa,,kunihudumia mahitaji ndio uwanaume huo mkuu mim lazima unigharamie kama wajibu wako
 
Kwani serikali inatoa fungu kwa ajili ya wanawake wanaoitwa kwenda kufanya mapenzi? Acha UBAHILI ilhali starehe unazipenda.
 
Ama kweli dunia duara na kila leo afadhali ya jana.

Kama mtu ni wako na anakuja kwako ugumu unatokea wapi kwenye kumpa nauli. Ukarimu ni jambo la bure jamaani. Lol.
 
Sasa wewe ndo umemuita kwa nini usimpe nauli maana mipango yako kaieshimu na kibaya anakuja kwa shida yako na anatumia nauli yake,wewe unamkumbuka tu wakati wa kurudi aisee sio sawa. Ila yeye akiwa anakuitaji ata akamwambii uende nooo yeye na nauli yake anajileta so kwa kuwa shida yako mpe ya kuja na kurudi.amri.
 
Hahahaaa. Wanasemaga hakuna majukumu kama hayo eti.

Ila kazi ipo mwaya. Tutafutage za kwetu tu kwa kweli.
Yan kama wamerogwa hivi kweli mtu uniambie nije kwako na nauli nijilipie looh,,so papuch nkuletee bure tu hiyo kitu Hamna,,wanaume nawaambia tena kila mwanamke ana chembe chembe hai za kupenda pesa hata mkeo wa ndani asikufmdanganye mwanamke yeyote kuwa hajakupendea pesa that's a big liar wanawake tumeumbwa kupenda pesa jamani msitushutumu
 
Unataka kusema wanaume wa zamani ealikua eanawatumia nauli wenzi wao? Je walitumia njia gani kufanya transactions...na pia je nikiea na wewe kwenye mahusiano ina maanisha ntagharamiA mahitaji yako yote ndo ujue nakupenda?
Zamani walikuwa hawatumiani nauli kwa kuwa walikuwa wanakaa karibu sio siku hizi mtu unakutana nae insta au facebook yuko zake Arusha unataka aje Dar lazima utume nauli. Zamani tulikuwa tunarusha jiwe juu ya bati mtu anaelewa anatoka mnaongea. Siku hizi mtu unachat na mdosho mpk saa tisa usiku kwa simu.
 
That is how being a man is[emoji8]
 
Back
Top Bottom