Sifanyi chochote bila ruksa yako...Huyu akifika mbinguni mniite mbwa nimekaa paleeee ππππππ
Huyu akifika mbinguni mniite mbwa nimekaa paleeee
Huyo hatari sasakuna mmoja anajiita Ibilisi
Hahahaha where is Sikudokoa Mboga yako?.Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Hawa hatari aiseeππ
Binti sayuni Tigo ndio jina la maana?Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Heri huyu mkulima
Hilo la nani tenaBinti sayuni Tigo ndio jina la maana?
Tajiri masikiniNajua tu huu uzi umefungua ili nitajwe tajwe.
Hili jina hatariHahahaha where is Sikudokoa Mboga yako?.
Hii imeniliza sanaKuna mwingine anajiita team 666
Wakat singo boy tupo hapa hatuwezi ht huyo mmoja kumtongoza πSafi sana hivyo ndiyo inavyotakiwa, ilq humu kuna vijana siyo wastaarabu wanatongoza hata wanawake wanne kwenye uzi mmoja
ππππpoleni aiseeWakat singo boy tupo hapa hatuwezi ht huyo mmoja kumtongoza π
Hawa hatariπππ
Kwaninj umejiita hivyo mkuu?Friji la mtumba
Ili uzid kupush Uzi wako...Ili iweje heee