Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Watu wa kimya mnasumbuliwa sana na stressMe mwenyewe ni mpole na niko hivyo
Hapa nimetoka kuvunja mahusiano na Girlfriend wangu japo sijamtamkia ila kuanzia jana niliapa sitojibu sms wala kupokea simu yake ila haya yote niliyatunza na nikasubiri tu siku flani na kweli ikaangukia jana.
So watu wapole tuko too emotional
ππ»ββοΈWAPOLE WAPOLE WAPOLEMpole mmoja alimkatakata mke wake baad ya kuzenguana kitambo, akaweka kwenye kiroba sura juu, akafunga vizuriii, kampelekea Mama mkwe eti nimekuletea zawadi ya mihogo!!! Jamani yule mama mpaka leo amezimia
Watu wapole ni mafia hatari aise..
Lakin ndo ugonjwa wanguππhuwa nawapenda huniambii kituπ€£π€£
Siri zetu tunazijua wenyewe kwa ndani, najivunia kuwa mpoleeeeh, [emoji4][emoji4][emoji4]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hyo safi mkuu,
Ila mnalalamikiwa sana kwa kupiga watu matukio
Eeeh babeeeeh mie mvumilivu mnooh, najua kukupenda tyuuh [emoji3590][emoji3590][emoji3590]Nami pia cocastic wangu, yaani hatuna maugomvi na watu. hata wayaleta unajifanya kama hujaona vile
Eeeh babeeeeh mie mvumilivu mnooh, najua kukupenda tyuuh [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hiyo miguu ni yako?Walio wengi wana roho mbaya iliyojificha, maana ni ngumu kumtambua amekasirika au la, wanaficha mengi kwenye upole wao.
Sisi waongeaji hatufichi hisia zetu hata mtu hajakuuliza ushasema.
Nb sio wote.
Huyo kunguru ni wako?Hiyo miguu ni yako?
[emoji3][emoji3]yani uko kama mimiNi kama asili tu ya wapole kama mimi huwa wadada ninaodate nao wanasemaga sura yangu muonekano na moyo wangu ni vitu tofauti sana.
Sababu mimi ukinikorofisha nakuacha na huwa sina tabia ya kurudia, nikiacha nimeacha hata uje na magoti au unatambaa.
Huhuhuhuhuh yeaaaaah le mubebeeeeh, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Ukinuna tu waletewa nini vile? Last time sijui uliagiza icecream kisado kizima!!!πππ