Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Kuna wapole na wakimya. Wengi wanadhani wakimya ni wapole na waongeaji ni machakaramu ila wakishashangazwa ndio akili inarudi

Japo wakimya hata mimi nawaogopa maana unaweza fanya jambo na asitoe any reaction kumbe ushawekwa kwenye plan za mbeleni
Ndiyo staili yangu hiyo,mtu akiniboa huwa simuoneshi muda huo huo bali huwa namuweka kiporo siku za mbeleni nakuja kumfanyia bonge la tukio ambalo hawezi kusahau kwa zaidi ya miaka 20
 
Mkuu hata mimi hiyo hali ilinitesa sana hadi nikavuka miaka 30 bado bila bila.
Hadi nikataka kuzalisha tu wanawake halafu nilee tu watoto lakini moyo wangu ukawa unakataa.
Hatimaye nikaja kuoa mwanamke mwenye sifa nizitakazo mwaka jana nikiwa na miaka 34.
Kwa hiyo usipanic mkuu endelea kutafuta wife material usichoke.
 
Namba 3 sjosh4
 
Mkuu hakuna kitu inasumbua watu wakimya kama kukaa kwenye kundi la watu waongeaji,
Binafsi huwa sipendi kabisa maana nakuwa sijisikii vizuri, watu ukikutana nao ukubwani wanaweza fikiri unaringa kumbe umekuwa hivyo toka utoto
Sema kwenye platform kama hizi ambazo unaandika ukiwa alone binafsi najiskia poa Sana

Ile feeling napata nikifanikiwa kutoka kwenye mkusanyiko wa watu (kujichanganya) haielezeki, niko na full energy nikiwa alone, kukiwa watu kibao ni kama wanakunyonya Energy hivi
Sema wakimya wengi wana AIBU pia
 
Aisee, ukiondoa namba 4,sifa nyingine zote na mwana ni kama zangu.
Kuna time huwa nachoka kuongea, na kutamani kuchil mwenyewe.
Hivi mtu unawezaje kuongea muda wote bila kuchoka!?

Kwahiyo sentensi ya mwisho ndo umeamua unichane kabisa mwamba!!πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯fresh tu..
 
Aisee, ukiondoa namba 4,sifa nyingine zote na mwana ni kama zangu.
Kuna time huwa nachoka kuongea, na kutamani kuchil mwenyewe.
Hivi mtu unawezaje kuongea muda wote bila kuchoka!?

Dawa yako ni kukupiga vyombo siku nzima unapiga tarumbeta tu(kuongea)
 
Umetutofautisha vizuri sana, kuna mtu ashawahi kujichanganya akijua mi ni mpole baadae alijua hajui..mi ni mkorofi wa kutupwa ila ni mkimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…