Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Pasua jibu bibieKuna ule upuuzi wako naujua.. Acha nifiche siri za Kambi[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasua jibu bibieKuna ule upuuzi wako naujua.. Acha nifiche siri za Kambi[emoji28]
mzee usiwe mtu wa ku generalize mambo, JF ina members zaid ya laki tano, hapa kuna comments za members kama mia hamsin kasoro hv. afu ww unakuja kusema member wote wa Jf.......hawa memba wote wa JF hua mnawapata wapi?Ni kawaida kwa JF ... Members wa platform hii kila member ana gari .. Kila member hatumii tecno ..kila member ni muhitimu wa chuo kikuu and the likes
Niacheeeee...Pasua jibu bibie
Mimi ni mpole na mkimya kwa pamojaWapole au wakimya, maana kuna watu ambao ni waongeaji lakini ni wapole.
Ngoja nikusaidie tu , watu wengi hasa wanawake wanachanganya kati ya watu wakimya na wapole.
Upole ni tabia ya ndani, ambayo inatafsiwa Kwa MTU kuwa na huruma, caring na upendo. Na kinyume cha upole ni ukatili.
Na kuna ukimya maana sio muongeaji. Kinyume cha mkimya ni muongeaji.
Kuna watu wakimya halafu wapole pia. Lakini kuna watu wakimya halafu ni makatili. Hawana huruma, upendo na sio caring.
Pia kuna watu waongeaji lakini wapole pia.
Watu wengi wanaingia chaka Kwa kushindwa kujua jambo hili wanapochagua wenza wao, Mara nyingine unaingia Kwa MTU mkimya lakini sio mpole unaishia kuchezea kichapo. Unakuta MTU huyo anakuwa mafia, mwenye tabia mbaya, asiyejali kabisa ila ndio hivyo sio muongeaji.
Hapana...mkimya sio lazima awe mpole.Wapole na wakimya ni kundi moja ?
Huna jipya..kivuruge wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niacheeeee...
Tayari nimefafanua hapo juu vizuri kabisa mkuuWapole na wakimya ni kundi moja ?
Jana ulikua wapi..[emoji3525][emoji51]Very true, babe kumbe mawazo yetu yanafanana eeh?
Babe....Babe hapa hujatoa maana bali umetoa sifa za wapole na wakimya
Nini kifanyike mkuuUnaweza kumpata introvert mwenzio na msiwezane.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Babe....
Namaanisha watu wapole ni kama mimi haba babe wako...[emoji39][emoji3]
Hili ndio jibu sahihi,hata mimi ni mpole huwa sipendi kabisa usumbufu au purukushani za aina zozote zile na wala sipendi kupoteza muda kwa namna yoyote ile.Mara nyingi huwa hatupendi usumbufu.
Naona umekimbia mwoga wewe[emoji23]Niacheeeee...
Fafanua huo upole wa Roho mtakatifuWengi mnaowaita wapole siyo wapole bali ni wa kimya tu!
Kuna tofauti kati ya upole na ukimya!
Upole ni mojawapo ya tunda la Roho Mtakatifu.
Ni mwenye Roho Mtakatifu tu anaweza kuwa mpole ijapokuwa inategemea.
Ukimya ni tabia kubwa ya majambazi!
Tutake radhi , unawezaje kutufananisha sisi na Majambazi.Wengi mnaowaita wapole siyo wapole bali ni wa kimya tu!
Kuna tofauti kati ya upole na ukimya!
Upole ni mojawapo ya tunda la Roho Mtakatifu.
Ni mwenye Roho Mtakatifu tu anaweza kuwa mpole ijapokuwa inategemea.
Ukimya ni tabia kubwa ya majambazi!
Dah mkuu wewe utakuwa umesomea saikolojia.Mtu mpole.
Wanafikiri sana kabla ya kutenda na sio wakurupukaji, na nirahisi kuwaamini na pia wako tayari kutoa msaada.
Watu hawa ni wazuri kuwa nao kama marafiki, na wasikilizaji wazuri ambao wanazielewa hisia za wengine.
Wapole wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, na niwagunduzi wa vitu.
Kuna dhana kwamba Watu wakimya wana dharau kutokana na kwamba wakati wewe unaongea kwa mdomo, wao wanatabia ya kuongea kichwani mwao.
Pia inasadikika kwamba unapo ongea naye mara nyingi anaweza asijibu kwa maneno bali vitendo na pia anadaiwa kutosahau haraka alichoambiwa.
Sio kweli ..Mnakosea sana kuwa na fikra za aina hii...maudhui ya uzi ndio huamua aina ya wachangiaji, ukianzishwa uzi wa magari automatically watakuja kukomenti wenye magari, ukianzishwa uzi wa watu warefu, wafupi, wenye chura hivyo hivyo
Pamoja sana mkuu.Mtu mpole.