realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Katika familia nyingi za Kiafrika hususan vijijini wazazi wengi wanawaogopa watoto wao wenye pesa hata kama ni mdogo.
Mtoto huyo mwenye pesa hata akifanya vitu visivyofaa kwa ndugu zake mzazi hawezi kumkanya zaidi ya kumchekea chekea tu.
Hali hii hujenga chuki kwa ndugu zake kiasi kwamba hata akipata changamoto anakosa ushirikiano.
Wazazi tusifanye hivyo watoto wote ni sawa.