Hivi kwanini wazazi wanawaogopa watoto wao wenye Pesa?

Hivi kwanini wazazi wanawaogopa watoto wao wenye Pesa?

SOMA HII SIO WAZAZI TU HATA RAISI ANAKUOGOPA UKIWA NA FEDHA 👇

Mwanzo 26:12 Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, Bwana akambariki.

13 Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana.

14 Akawa na mali ya kondoo, na mali ya ng'ombe, na watumwa wengi. Hao Wafilisti wakamhusudu.

16 Abimeleki akamwambia Isaka, Utoke kwetu, maana wewe una nguvu sana kuliko sisi.

17 Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko.
🙏🙏
 
Pesa kitu kingine mkuu tusiweke lawama kwasababu hatuna
Ni kujindekeza tu.
Mzazi huwezi kumlinganisha na raisi au watu wa mtaani.
Yani mtu alobeba mimba yako,akakuzaa,akakunyonyesha na akakukuza mpaka ukaijua kuitafuta pesa akuogope kisa hiyo pesa!!??
Kuweni na adabu,msimlinganishe mzazi na watu wa mtaani.
Mzazi sio tu mtu unayeweza kumvimbia kama wa huko mtaani.
 
Back
Top Bottom