Si kwamba wanawaogopa watoto.Laa hasha.Hela ndiyo zinaogopwa.Tazama kwa umakini.Katika familia nyingi za Kiafrika hususan vijijini wazazi wengi wanawaogopa watoto wao wenye pesa hata kama ni mdogo.
Mtoto huyo mwenye pesa hata akifanya vitu visivyofaa kwa ndugu zake mzazi hawezi kumkanya zaidi ya kumchekea chekea tu.
Hali hii hujenga chuki kwa ndugu zake kiasi kwamba hata akipata changamoto anakosa ushirikiano.
Wazazi tusifanye hivyo watoto wote ni sawa.
Katika familia nyingi za Kiafrika hususan vijijini wazazi wengi wanawaogopa watoto wao wenye pesa hata kama ni mdogo.
Mtoto huyo mwenye pesa hata akifanya vitu visivyofaa kwa ndugu zake mzazi hawezi kumkanya zaidi ya kumchekea chekea tu.
Hali hii hujenga chuki kwa ndugu zake kiasi kwamba hata akipata changamoto anakosa ushirikiano.
Wazazi tusifanye hivyo watoto wote ni sawa.
Kwa hiyo wengine sio watoto
Ila tafuteni pesa za halali ndiyo mta enjoy maisha! Pesa za haramu utafaidi,lakini Karma lazima ije ikuchape barabara!!Ngoja tuzitafute