Hivi kwanini wazazi wanawaogopa watoto wao wenye Pesa?

πŸ™πŸ™
 
Pesa kitu kingine mkuu tusiweke lawama kwasababu hatuna
Ni kujindekeza tu.
Mzazi huwezi kumlinganisha na raisi au watu wa mtaani.
Yani mtu alobeba mimba yako,akakuzaa,akakunyonyesha na akakukuza mpaka ukaijua kuitafuta pesa akuogope kisa hiyo pesa!!??
Kuweni na adabu,msimlinganishe mzazi na watu wa mtaani.
Mzazi sio tu mtu unayeweza kumvimbia kama wa huko mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…