GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo letu hatujui kutofautisha kati ya mwanasiasa na kiongozi.

1) Mwanasiasa = Mropokaji asie na faida na wananchi.

2) Kiongozi = Mtu mwenye kujali wananchi wake na hujitolea kuleta mabadiliko nchini.

Tanzania tuna wanasiasa hatujapata kiongozi bado
 
Lakini kwa nini Taletale? Hao walio smart wamefanya nini?
 
Mpokea rushwa ana tatizo kubwa kuliko hata mtoa rushwa. Mtu akikataa kupokea rushwa nani atamlazimisha ?
Umasikini na ujinga ndio chanzo Cha yote. Jana Kuna mjumbe huku asubuhi alikuwa anajitapa wamevuta mikwanja Toka kwa watia nia Cha kushangaza jioni ananiletea beiskeli kama mdhamana nimkopeshe elfu20
 
Hivi unadhani hao wajumbe huwa wanaangalia usomi wa mtu au smartness. Hao ukiishi nao vizuri tu na wakakuelewa basi wanakupa kura, yaani ishi nao day and night.
 
Atakuwa aligombea na waliochini ya ujinga wake ... sasa wajumbe wakaona anauangalau wa upumbavu .
 
Wew ndio nakuona unashinda ndugu yangu,kwenye ubungu wanchi wanamchagua mtu anayejari masirahi ya wananchi na sio elimu na uelewa wa mtu.
 
Umasikini na ujinga ndio chanzo Cha yote. Jana Kuna mjumbe huku asubuhi alikuwa anajitapa wamevuta mikwanja Toka kwa watia nia Cha kushangaza jioni ananiletea beiskeli kama mdhamana nimkopeshe elfu20
Alikula zikaisha
 
Mi wala hata sishangai maana ukitoa Wanyakyusa, Wachaga, Wahaya, Wasukuma na Wapare kiujumla jamii zingine nje ya hizo ni marehemu wanaotembea...
 
Watanzania wengi hawajali kuhusu nchi yao, wakishakuwa na uhakika wa kula chips, mishikaki na pepsi hapo mtu anajiona tayari amejipata na kinachobaki ni kubishana kuhusu Simba na Yanga.
,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazee wa elisane conte ...mara Kouma ..wazee wa dribbling na passing accuracy ...
 
Mi wala hata sishangai maana ukitoa Wanyakyusa, Wachaga, Wahaya, Wasukuma na Wapare kiujumla jamii zingine nje ya hizo ni marehemu wanaotembea...
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…