Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Imeonyesha ishara ya vitu wanavyoviogopa
Kuna mtu anatoa hayo maagizo wayafuate na iwe siri kwao na wakijaribu kufuatilia nani
Inapotezewa au mtu anatishiwa kifo
Mamlaka inayohusika na mawasiliano
Kwa nn wafanye hivyo

Na kama huo mtindo umeanza
Utatumiwa sana kufunga Youtube
Na itafika stage wanazima mitandao yote
Kisa kuficha ukweli

Wamejidhihirisha wanachokiogopa
Hawaoni aibu

Jiulize kwa nini hadi leo Mapolisi hawajawakamata watekaji?
Yani waseme kikundi fulani kinahusika au watu fulani
 
Huo muda waliopoteza kufuatilia kesi ya lissu na kupoteza muda kufunga makanisa ya Gwajima
Kwa nn wangeutumia huo muda kutafuta wahalifu wanaohusika na utekaji
 
Dah we jamaa unajua kuchonganisha jamii
 
Wewe hata haukunielewa nililenga kuonesha kuwa ikiwa polepole anatungaisha hivi itakuaje tukipata Adui kutoka nje !?
 
Ila chadema bwana.🀣🀣🀣🀣🀣
Si Mzee si kijana wote akili zao zinakuwa sawa tu. Yaani hapa wenyewe ndo wanajadili mada yaani.....ya kitaaalamu, inayohusu ukinzi na usalama wa nchi yaani. Mijinga mijinga flani inakesha jf hapa kufarijiana eti inafahamu kuhusu tiss🀣🀣🀣🀣

Ushauri;
Tunajua hamumpendi Samia, na hiyo sio hoja kabisa kwake na kwetu watanzania wote, ila tumieni akili basi jamani hata kidogo.
 
Chadema wamefungiwa kufanya siasa popote pale, kwani Polepole na Gwajima ni Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…