Hivi kweli kuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Afrika Kusini kama taifa?

Hivi kweli kuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Afrika Kusini kama taifa?

uko sahihi ila ungwana ni zero...

inafaa ifanyike bidii ya ushawishi na kubadili mindset za wengi kua upande wako, kuliko kubeza anachoamini mwingine kwenye chama au taasisi yake....

hii sijui habari nyumbu au sijui chawa ni useless kabisa, haisaidii wala kubadili kitu. Lazima kuwepo na content za maana za kumshawishi na kuvutia wengi 🐒

kwamba uungwe mkono wasababu ya uhodari wa kumuita mwingine chawa au nyumbu au kabila lako?🐒
Kikubwa ni kutoa elimu Bora kwa jamii ,tukiwa na elimu Bora mabadiliko sio tu kwenye siasa na Kila sector hali itabadilika Leo hii utaona mtu anaipongeza serikali wakati akienda hospital hana uwezo wa kupata dawa wala kumuona daktari
Hana maji safi ya kunywa na Kutumia Toka uhuru
Hakuna barabara za mitaa mvua kidogo nyumba chini
Elimu miundombinu haikidhi (kitonga primary wanafunzi 4000 walimu 15)
Na mengine mengi report ya CAG Kila mwaka inaonesha uharibifu mkubwa wa pesa
 
Amani na Haki ni Chupa na kifuniko. Unategemea Amani idumu hutendi Haki? Basi Haki imeshindikana punguzia Waliokupa mamlaka (wananchi) mizigo mfano Kodi, Afya nafuu, Fursa sawa kiuchumi, (Na Ajira kama wakati wa JK. Yeye aliweza vipi?)
kutaja kiongozi Fulani aliwezaje ni kukiri kwamba Haki na Hsawa vipo ila kwa kipindi hiki hujaridhika tu kwa kiwango inavyotekelezwa....

mambo haya yanafanywa na wanadamu sio malaika, dosari mapungufu, na kasoro ni vigumu kuviepuka...

hata hivyo unayo fursa ya kufanya mabadiliko kupitia chaguzi zijazo,
jipange 🐒
 
Imekuuma ANC kugaragazwa.
Waafrica kusini wanapiga kura kwa issues sio kwa kufuata chama hata kama kimeacha kubeba agenda za wananchi.

Pili hicho unachoita ukabila kunaleta uwakilishi wa haki kwa kufuata proportionality kila kundi katika jamii linakuwa limewakilishwa katika serikali au bungeni kwa uwiano.
si kweli,
wanafuata mtu na kabila lake....
kwahivyo MK Party yenye chini ya miezi mi5 wamebeba issues za waSA sio ukabila na ukanda wao 🐒
 
Umekwepa kabisa kutamka neno haki katika ngonjera zako za kujisifu na ccm yako
haki ya nani tena,
nimeona tu Julius Malema akilalamikia faulo na muangalizi wa uchaguzi wa AU Uhuru Kenyatta akisifia zoezi la uchaguzi kufanyika kwa amani licha ya dosari na kasoro mbalimbali ambazo zimewakosesha haki zao baadhi ya watu wa SA🐒
 
Jambo kubwa la kujifunza kutoka uchaguzi wa SA ni uwazi wakati wa kuhesabu kura kwani hadi waandishi wa habari walikaribishwa kushuhudia zoezi la kuhesabu kura.
uko sahihi japo bado wagombeaji wengine hawakuridhika....

hata Tz jambo hilo hufanyika pia 🐒
 
nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.

Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya kutokubaguana kulingana na misingi isiyofaa, iliyotuepusha na ubaguzi wa aina zote na kuchochea utu, heshma, haki na usawa kwa binadamu wote...

Kama Taifa,
hatuna budi kuitunza na kujivunia tunu hii muhimu sana, iliyokijita ndani ya mioyo ya waTanzania na inayotufanya kijilikana na kufahamika duniani kama kisiwa cha mani...

La muhimu ni AMANI na kwamba kasoro na dosari katika uchaguzi haziepukiki..

Mungu Ibariki Tanzania :whatBlink:
Kama hujaona Cha kujifunza Kaa kimya. Nyie mnaozima internet kipindi Cha uchaguzi nani ajifunze kwenu?.
 
Kama hujaona Cha kujifunza Kaa kimya. Nyie mnaozima internet kipindi Cha uchaguzi nani ajifunze kwenu?.
kamanda acha uchoyo,
toa shule ya uelewa na ufahamu wako juu ya mambo haya muhimu sana kwa mustakabali wa jamii nzima ya Africa 🐒
 
ni vizuri kujipanga hasa na kua na consistency katika kupigania mambo muhimu, vinginevyo ikiwa leo unadai hile kesho jingine, utafika umechoka sana 🐒
Kupigania Nini? Acha ujinga. Acha kudharau raia na nchi kisa kujitetea CCM.
 
Tz hatuna serkali, kuna wahuni wachache tu wenye organization yao ya kuliibia taifa na kuwanyonya wananchi walio wengi kwa idhini ya CCM, katiba mbovu na Muungano wa kifedhuli. Alaumiwe Mwalimu wenu sijui wizi ndicho alichowafundisha!
 
Lakini Malema na EFF yake analia kwa sauti kubwa sana kuhusu jambo hilo 🐒
Acha uongo. Malema ni wa nne, na Wala hajalia kuhusu kura. Kwenye Press yake kadai anweza kufanya kazi na ANC.
 
Back
Top Bottom