Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa ni kutoa elimu Bora kwa jamii ,tukiwa na elimu Bora mabadiliko sio tu kwenye siasa na Kila sector hali itabadilika Leo hii utaona mtu anaipongeza serikali wakati akienda hospital hana uwezo wa kupata dawa wala kumuona daktariuko sahihi ila ungwana ni zero...
inafaa ifanyike bidii ya ushawishi na kubadili mindset za wengi kua upande wako, kuliko kubeza anachoamini mwingine kwenye chama au taasisi yake....
hii sijui habari nyumbu au sijui chawa ni useless kabisa, haisaidii wala kubadili kitu. Lazima kuwepo na content za maana za kumshawishi na kuvutia wengi 🐒
kwamba uungwe mkono wasababu ya uhodari wa kumuita mwingine chawa au nyumbu au kabila lako?🐒
kutaja kiongozi Fulani aliwezaje ni kukiri kwamba Haki na Hsawa vipo ila kwa kipindi hiki hujaridhika tu kwa kiwango inavyotekelezwa....Amani na Haki ni Chupa na kifuniko. Unategemea Amani idumu hutendi Haki? Basi Haki imeshindikana punguzia Waliokupa mamlaka (wananchi) mizigo mfano Kodi, Afya nafuu, Fursa sawa kiuchumi, (Na Ajira kama wakati wa JK. Yeye aliweza vipi?)
si kweli,Imekuuma ANC kugaragazwa.
Waafrica kusini wanapiga kura kwa issues sio kwa kufuata chama hata kama kimeacha kubeba agenda za wananchi.
Pili hicho unachoita ukabila kunaleta uwakilishi wa haki kwa kufuata proportionality kila kundi katika jamii linakuwa limewakilishwa katika serikali au bungeni kwa uwiano.
haki ya nani tena,Umekwepa kabisa kutamka neno haki katika ngonjera zako za kujisifu na ccm yako
uko sahihi japo bado wagombeaji wengine hawakuridhika....Jambo kubwa la kujifunza kutoka uchaguzi wa SA ni uwazi wakati wa kuhesabu kura kwani hadi waandishi wa habari walikaribishwa kushuhudia zoezi la kuhesabu kura.
Vyema, basi ni kweli lipo la kujifunza hapo.yes ndio chama Tawala 🐒
Sidhanihata Tz jambo hilo hufanyika pia 🐒
Kama hujaona Cha kujifunza Kaa kimya. Nyie mnaozima internet kipindi Cha uchaguzi nani ajifunze kwenu?.nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.
Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya kutokubaguana kulingana na misingi isiyofaa, iliyotuepusha na ubaguzi wa aina zote na kuchochea utu, heshma, haki na usawa kwa binadamu wote...
Kama Taifa,
hatuna budi kuitunza na kujivunia tunu hii muhimu sana, iliyokijita ndani ya mioyo ya waTanzania na inayotufanya kijilikana na kufahamika duniani kama kisiwa cha mani...
La muhimu ni AMANI na kwamba kasoro na dosari katika uchaguzi haziepukiki..
Mungu Ibariki Tanzania![]()
kamanda acha uchoyo,Kama hujaona Cha kujifunza Kaa kimya. Nyie mnaozima internet kipindi Cha uchaguzi nani ajifunze kwenu?.
Ndo yale mangedele yaloimbwa na Kala Jeremiah kwamba yamekula mahindi yote alopanda Baba wa Taifa yakajibanza juu ya paa.Sawa, sasa hiyo ngedere hapo maana yake nini mkuu
Kupigania Nini? Acha ujinga. Acha kudharau raia na nchi kisa kujitetea CCM.ni vizuri kujipanga hasa na kua na consistency katika kupigania mambo muhimu, vinginevyo ikiwa leo unadai hile kesho jingine, utafika umechoka sana 🐒
Acha uongo. Malema ni wa nne, na Wala hajalia kuhusu kura. Kwenye Press yake kadai anweza kufanya kazi na ANC.Lakini Malema na EFF yake analia kwa sauti kubwa sana kuhusu jambo hilo 🐒