Hivi kweli kuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Afrika Kusini kama taifa?

Hivi kweli kuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Afrika Kusini kama taifa?

Mi nadhani Cha kujifunza ni kuwa jamii iliyo elimika haidanganyiki kirahisi hapa kwetu watu wamenyimwa elimu ndio maana wamegeuka chawa wakupigia kelele watawala
Ni vile TU hawasemi ila wa SA wengi wanataka DA irudi haraka madarakani sema ni vile wanavutavuta upepo kidogo
Si kweli, 23%( chama chenye mizizi wa wabaguzi) ndio walio wengi? Angalau wangefikia 40%, ningekuelewa.
 
nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.

Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya kutokubaguana kulingana na misingi isiyofaa, iliyotuepusha na ubaguzi wa aina zote na kuchochea utu, heshma, haki na usawa kwa binadamu wote...

Kama Taifa,
hatuna budi kuitunza na kujivunia tunu hii muhimu sana, iliyokijita ndani ya mioyo ya waTanzania na inayotufanya kijilikana na kufahamika duniani kama kisiwa cha mani...

La muhimu ni AMANI na kwamba kasoro na dosari katika uchaguzi haziepukiki..

Mungu Ibariki Tanzania :whatBlink:
Labda kuunda Serikali ya mseto tofauti na hapo hakuna kitu Cha maana kule
 
Si kweli, 23%( chama chenye mizizi wa wabaguzi) ndio walio wengi? Angalau wangefikia 40%, ningekuelewa.
Kumbuka wazungu SA ni 7%leo hii tunaona DA wakizidi kupanda kwa kura tena ndani ya mda mfupi sana kimsingi walipaswa kuwa chini sana kutokana na history ila Sasa wanahizo asilimia huenda miaka 20 ijayo ambapo kizazi Cha Umkontho kitakapokuwa kimepungua huenda kikarudi madarakani
 
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni kwamba wasouth wameanza kujifikiria kuipa nafasi DA ambayo inachimbuko la wazungu, wanadhani inaweza kuirudisha Afrika Kusini kwenye mstari. Maana weusi wenzao kila siku ni ufisadi mara Zuma na Gupta, mara Ramaphosa kawateka wafanyakazi wake kisa wameiba manilioni aliyoficha kwenye mashimo nyumbani kwake.
 
Kumbuka wazungu SA ni 7%leo hii tunaona DA wakizidi kupanda kwa kura tena ndani ya mda mfupi sana kimsingi walipaswa kuwa chini sana kutokana na history ila Sasa wanahizo asilimia huenda miaka 20 ijayo ambapo kizazi Cha Umkontho kitakapokuwa kimepungua huenda kikarudi madarakani
Wasouth Africa sasa wamesha tambua adui yao halisi ni nani,Na siku DA wakishika madaraka SA basi tutashuhudia mageuzi ambayo sio ya kawaida ndani ya SA.
 
Back
Top Bottom