Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

Wanaume ambao hawana sauti nzito wanakumbwa na tatizo pia la kukosa hela๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa hiyo case yao na wale wanaume wafupi zinaendana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ