n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Uki analyse majibu ya wadada kwenye hili swali utaona kitu muhimu Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu wote huzungumza kwenye sauti ya kwanza.View attachment 2971969
Hii ya huyu mheshimiwa ni ya tatu, sasa dhania ya pili itakuwaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee uduguu, Lol[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa mwanaume gani huna hata sauti ya kuimbia hip hop??
Umeandika vizuri sana!! Nimekumbuka mbali, had machozi yanatokaa!!Mnavyojadili utafikiri mna uwezo wa kujiongeza hata unywele mmoja tu. hao mnaowasema na sauti gani sijui hawakujiumba. hivyo hivyo na kwa wanawake wenye sauti za kiume, wanaume wasio na ndevu vs wanawake wenye ndevu, au sisi wanaume weney garden love vs wengine ambazo pengine hawana garden, warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, weusi na weupe n.k. hayo yote ni Mungu amefanya, cha muhimu tu wewe kama ulizaliwa mwanaume uishi kama mwanaume, and vise versa is true.
Kenya kuna dada mmoja anaitwa Sara Kiarike (wengi humwita Sara K), anaimba vizuri sana. inasemakana alizaliwa pacha na mwenzake, mwezie alikua na uwezo sana darasani, yeye hakuwa na uwezo, mwenzie alipendwa yeye mara nyingi alikuwa akishindwa anatukanwa " lisauti lako kubwa", Mungu alimpandisha polepole kwa lile lile lisauti likubwa kama la mwanaume likiimba akawa mwanamziki mkubwa sana anayeimba hata kwenye hafla za kitaifa mbele ya Rais wa nchi. Anajulikana na kuheshimika duniani kuliko hata mwenzake ambaye hata hatumjui.
hapo ndipo nilijifunza kutobagua watoto wala kuonyesha kumpenda huyu zaidi ya mwingine. mwanangu hata akifelis huleni kuliko wenzake huwa simkatishi tamaa, namwambia mbona umejitahidi tu, siku nyingine utafanya vizuri zaidi ya hivi, kazana. basi, ila siwezi kumwambia wewe huna akili kuliko fulani au kwanini fulani amefauli wewe umefeli?
Kama sisi tu, wanajua kudeka balaaa!Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu.
ZuchuHuna sauti nzito
Huna ndevu
Huna pesa
Huna nguvu
Wewe nani sasa ?
Udugu wangu 😘😘😘😘[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee uduguu, Lol