Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

Sasa unataka tufanane sauti,?

Mwanaume asipokua na ndevu,asipokua na sauti nzito huwa simwelewi,,,,,,sijuh namuonaje

Napenda mwanaume awe mwanaume,awe na sauti ya mamlaka

Yaani akiniambia sitaki ufanye kitu flani basi naacha.

Mwanaume nikiongozana naye basi nijione niko salama

Sasa ndevu huna

Sauti nzito flan huna

🤔🤔🤔

Aaaaaaaaah
Duh...sio poa
 
Back
Top Bottom