Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

Sasa mbona mimi nategemea ndio unitoe huku uchochoroni nilipopanga jamani
๐Ÿคฃ sema nini mwanaume ni mwanaume tu, ukishazaliwa mwanaume hata kama unaluemavu lazima kutoboa tu.
Hilo usijali best, na zaidi ya hilo pia! Tuombe uzima.
 
๐Ÿคฃ sema nini mwanaume ni mwanaume tu, ukishazaliwa mwanaume hata kama unaluemavu lazima kutoboa tu.
Hilo usijali best, na zaidi ya hilo pia! Tuombe uzima.
Namna hiyo๐Ÿ˜๐Ÿ˜. Ndio maana ni miongoni mwa watu ninaowapenda humu.
 
Kwa sisi wanaume Sharti la kwanza unatakiwa uwe na hii Adam's Apple hapo kwenye shingo, bila hiyo voice box jiandae kuongea kama zuchu
749px-Adams_apple_10.jpg
 
Sasa unataka tufanane sauti,?

Mwanaume asipokua na ndevu,asipokua na sauti nzito huwa simwelewi,,,,,,sijuh namuonaje

Napenda mwanaume awe mwanaume,awe na sauti ya mamlaka

Yaani akiniambia sitaki ufanye kitu flani basi naacha.

Mwanaume nikiongozana naye basi nijione niko salama

Sasa ndevu huna

Sauti nzito flan huna

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

Aaaaaaaaah
We hutaki wa kufanana naye?
 
Mike Iron Tyson anasauti ya kipumbavu kama yako alafu ujumlishie na kithembe sipati picha uwe unatukanana naye kwenye simu na hamjuani halafu ujae kwenye kumi nane zake
 
Back
Top Bottom