Umeandika kama utani ila ni ukweli asilimia 90%Wanaume ambao hawana sauti nzito wanakumbwa na tatizo pia la kukosa helaππππ
π€£ sema nini mwanaume ni mwanaume tu, ukishazaliwa mwanaume hata kama unaluemavu lazima kutoboa tu.Sasa mbona mimi nategemea ndio unitoe huku uchochoroni nilipopanga jamani
ππππUmeandika kama utani ila ni ukweli asilimia 90%
Namna hiyoππ. Ndio maana ni miongoni mwa watu ninaowapenda humu.π€£ sema nini mwanaume ni mwanaume tu, ukishazaliwa mwanaume hata kama unaluemavu lazima kutoboa tu.
Hilo usijali best, na zaidi ya hilo pia! Tuombe uzima.
Asante kuwa miongoni mwao, nami pia na kuzidi, barikiwa.Namna hiyoππ. Ndio maana ni miongoni mwa watu ninaowapenda humu.
Ameenππ½Asante kuwa miongoni mwao, nami pia na kuzidi, barikiwa.
Mbona unanipa jinsia ambayo Sina πWameulizwa "Ladies" broh
Sorry, nitakuwa nimechanganya ID. Kuna njemba Ina jina kama lako π€¦Mbona unanipa jinsia ambayo Sina π
Kuongeza msisimko mwilini ili uchanganyikiwe vyemaZinasaidia nini mkuu?
Ni Moze IyoboHuna sauti nzito
Huna ndevu
Huna pesa
Huna nguvu
Wewe nani sasa ?
π€£π€£π€£π€£ mweeβΉοΈNi Moze Iyobo
We hutaki wa kufanana naye?Sasa unataka tufanane sauti,?
Mwanaume asipokua na ndevu,asipokua na sauti nzito huwa simwelewi,,,,,,sijuh namuonaje
Napenda mwanaume awe mwanaume,awe na sauti ya mamlaka
Yaani akiniambia sitaki ufanye kitu flani basi naacha.
Mwanaume nikiongozana naye basi nijione niko salama
Sasa ndevu huna
Sauti nzito flan huna
π€π€π€
Aaaaaaaaah
πππππππNadhani wanawachukulia kama mashoga zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had bas.Wanaume ambao hawana sauti nzito wanakumbwa na tatizo pia la kukosa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]