Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

Uki analyse majibu ya wadada kwenye hili swali utaona kitu muhimu Sana.
 
Umeandika vizuri sana!! Nimekumbuka mbali, had machozi yanatokaa!!
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mwanaume kama hujiamini hata ukiwa na sauti ya radi bado litakuwa ni tatizo tu.

Mamlaka ya mwanaume rijali hayahitaji mbwembwe ila ni namna gani utajiamini na kujua nafasi yako kama mwanaume.

Mtihani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee uduguu, Lol
Udugu wangu 😘😘😘😘
Nimekumiss mpk naumwa, kwann hukuja ninakouza vijora kunipa hi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…