Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha.

Cc:Lusako
 
Labda somo la kumkimbia shonga na chuwa .waalimu wanao zani kushikilia sup wanafunzi wengi ndo sifa na umaarufu
 
Labda somo la kumkimbia shonga na chuwa .waalimu wanao zani kushikilia sup wanafunzi wengi ndo sifa na umaarufu
Huyo chuwa huwa namuona wa kawaida sana.

Shonga namsikia tu kwa vijana anavyowatesa.
 
Somo kubwa linalotiliwa mkazo ni jinsi ya kumkimbia Shonga na Chuwa maana sio binadamu wa kawaida😂😂😂
 
Back
Top Bottom