chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 7, 2024 #1 Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 Dec 7, 2024 #2 Labda somo la kumkimbia shonga na chuwa .waalimu wanao zani kushikilia sup wanafunzi wengi ndo sifa na umaarufu
Labda somo la kumkimbia shonga na chuwa .waalimu wanao zani kushikilia sup wanafunzi wengi ndo sifa na umaarufu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Dec 7, 2024 #3 Kumekuchaaa!
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Dec 7, 2024 #4 Mr Devil said: Labda somo la kumkimbia shonga na chuwa .waalimu wanao zani kushikilia sup wanafunzi wengi ndo sifa na umaarufu Click to expand... Huyo chuwa huwa namuona wa kawaida sana. Shonga namsikia tu kwa vijana anavyowatesa.
Mr Devil said: Labda somo la kumkimbia shonga na chuwa .waalimu wanao zani kushikilia sup wanafunzi wengi ndo sifa na umaarufu Click to expand... Huyo chuwa huwa namuona wa kawaida sana. Shonga namsikia tu kwa vijana anavyowatesa.
Rammyq JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 269 Reaction score 773 Dec 8, 2024 #5 Somo kubwa linalotiliwa mkazo ni jinsi ya kumkimbia Shonga na Chuwa maana sio binadamu wa kawaida😂😂😂
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Dec 8, 2024 #6 chiembe said: Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako Click to expand... Kamuulize Assad wa Syria amewezaje kukimbia na pia mpe salam Samia mwambie yajayo yanafurahisha.
chiembe said: Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako Click to expand... Kamuulize Assad wa Syria amewezaje kukimbia na pia mpe salam Samia mwambie yajayo yanafurahisha.