Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

Mkuu kwa hii Kasi yako ya kuichunguza biblia, sioni kama utaendelea kuhudhuria kanisani. Mimi baada ya kuanza kujiuliza maswali kama yako, kwa sasa nimebaki mromani mstaafu. Naongea na Mungu direct sitaki tena hivyo vitabu.
Ha ha ha....Tunafanana aisee[emoji28]
 
Kumekucha aisee[emoji28]
 
Huwezi kufafanuliwa, yani hivi vitabu mfano wake ni sawa na Nyerere mwaka 1960 anazungumzia jinsi alivyokufa na msiba wake mwaka 1999.

Ni ngumu sana kwa mtu anayetumia akili na logic kuviamini vitabu hivi, hasa kile cha Quran ndio magumashi matupu.
Ngoja nimuite huyo muumini wa hicho kitabu FaizaFoxy
Mmhh!
 
Twambie Sasa maisha ya lazalo yalikua Ni yapi uko kuzimu
Mungu mwenyewe hakutuambia kupitia maandiko yake matakatifu; pumbavu mimi ni nani nithubutu ku-question mamlaka ya Mwenye Enzi yote?
 
Wayahudi hawaamini Moto wala kuzimu, pengine ndio Maana hatuna story za Lazaro, Ukristo wa Mwanzo ulikuwa ni dhehebu la Dini ya Kiyahudi.

Hata Netanyahu Miaka 200 ijayo atakuwa Nabii wa Mungu, story nyingi za dini ni hadithi zilizohaririwa
 
Jinsi

Ambavyo mtu aliyelala fofofo hajitambui ndivyo mtu aliyekufa hajitambui. Utasikia watu "Unafananisha kifo na usingizi?" Ukweli ni kuwa kifo na usingizi vinafanana mno.
Kufananisha uzingizi na kifo ni kukosa maarifa Tu
 
Hivi kama ukweli ni kwamba mtu akifa hatakuwa anajua chochote kinachoendelea ilikuwaje Yesu akatoa mfano kama huu usio na uhalisia ambao unaonyesha kwamba wafu wanakuwa na maisha mengine huko kaburini, na ndugu, jamaa, marafiki na majirani wanaweza kukutana kupiga story kukumbushana ya duniani na hata kutumana? Na kingine, kwa nini kutokana na utata unaoletwa na maandiko haya ambapo yanapingana na mtazamo wa kwamba wafu hawajui chochote kinachoendelea, inalazimishwa (?) na wajuzi (?) wa kutafsiri biblia kwamba hicho kisa hakikuwa cha kweli bali Yesu alikisema kama mfano tu kwenye mafundisho yake? Yaani Yesu kabisa atoe mfano kwa jambo nyeti kama hilo kwa kutumis kisa kisicho na uhalisia wowote na wenye kuweza kupotosha wengi?
 
Yaani eti mtu umeshakufa eti alafu uwe na maisha mengine kwenye ulimwengu mwingine huu ni uwongo!
Mtu akiwa hai na kupata usingizi tu wa kawaida kama hajaota ndoto, kuumwa na mbu au kuguswa na chochote kamwe hawezi kujua kinachoendelea duniani. Sasa akiwa kafa kabisa ndiyo atajuaje kinachoendelea au ku-experience maisha mengine?
 
Hakuna record popote kwenye Biblia kama alisimulia chochote, lakini baadae alikuja kufa tena.
 
Kwenye biblia za orthodox kuna details.
Biblia hii kusudi ni tofauti....Ref.aliyofanya Yesu yameandikwa kwa ufupi sana.
 
Hapa hakuna wa kukupa jibu.
Utapewa story tu za kina abunuas na kalikalanje.
Story za kubumba siku zote zinazaa maswali yasio na majibu.
Ndo maana UKRISTO kila siku unafanyiwa ukarabati ili Ukubalike na kila siku unafeli.

UKRISTO ni mradi wenye faida kubwa kwa viongozi wake na ni Kisu kwa maskini.
Ndo maana viongozi wanaoshi maisha ya juu sana hali ya kuwa kondoo wanazidi kumalizika.


Njooni kwenye Dini ya Mungu mmoja. Dini ya usawa.
Wewe na Rais mnasali pamoja na hakuna aliye juu kuliko mwenzake ispokuwa kwenye ibada tu.
 
Yesu alikuwa.sii mpango wake kurudisha wafu kwenye uhai, bali kuonysha demo kuwa wadimchukulie poa. Yule lazaro alikaa.muda kidogo akafa mazima, hivyo hskufunguka siri yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…