Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

Nimesha andiak katka Uzi wangu kuwa wajinga wafe tu no maraa wat
 
Bado sisi watanzania maana wamama wengi ni wanakunywa mafuta ya upako,mafuta yenyew hatujui yametoka wapi TFDA wapo na hawajaliona hili,TBS wapo wamekaa kimya na TRA wapo hawajaonankwamba kuna kodi yetu hapa kwa huyu mfanya biashara wa mafuta ya upako anaetumia jina la mtume/kanisa kukwepa kodiπŸ˜€πŸ˜€
 
Huyo mchungaji achunguzwe atakuwa anachukua hela zao waumin na kuwaua,haiingii akilin mtu auze kila kitu akampe mchungaji then afunge kula ili afe akamwone Yesu πŸ™there is more to that story
Hata mimi nadhani iko ivo aiseee.
Na kuna jamaa hapo juu kaandika kua kwa wale waliotala kutoroka walifungwa kamba mpaka wakadanja.

Na wote walikata mawasiliano na walikotoka, jamaa kuna mbinu alikua anazitumia si bure.
 
Mama na baba yako wanatatuliwa malinda kwa sababu ya ujinga na upumbavu ambao na ww umeurithi.

Kuwa na akili hata za kuvukia barabara usije kujikuta na ww unaanza kufirw@ na kina gwajima wafufua watu, Mwamposa muua watu mfuasi wa shetani
 
Kua na elimu na kuelimika ni vitu tofauti,

Unaweza kua na elimu ila ukawa haujaelimika,yani elimu imeshindwa kukukomboa kifikra.
 
Nina hasira hapa mpk najikuta nasonya tuu..
Why uue watt wasio na hatia?.kufa mwenyewe...sipati picha watoto walivyolia mpk machozi yakakauka...mama njaa,mama njaaa
😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭
 
NIna hhsira hapa mpk najikuta nasonya tuu..
Why uue watt wasio na hatia?.kufa mwenyewe...sipati picha wtt walivyolia mpk machozi yakakauka...mama njaa,mama njaaa
😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭
Pole sana,

Njoo PM ili tukapunguze hasira kwa kutembelea maeneo tulivu na kufaidi mema ya nchi.

😎
 
Wazichunguze hizo maiti pia. Isijekuwa mchungaji alivuna viungo vya waumini wake akasingizia walifunga, mwisho wa siku mchungaji akawa amepiga pesa ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…