Hivi lini mwisho HAMAS kurusha roketi kuelekea Israel? Jamaa wamezimwa kabisa

Hamas Wakirudia Tena Linadondoshwa Kama Heroshima na Nagasaki Ubishi Uishe Ndo Watakuwa na Adabu
 
Kuanzia October 7 hadi 27 yalikua ni majibizano ya rocket na mabomu kutokea kila mmoja kwenye ardhi yake israel anarusha na hamas wanarusha, lakini baada ya Israel kuivamia palestine kwenye ardhi yao sidhani kama kuna haja ya Hamas kurusha izo rockets kwakua adui ameingia ndani ya nyumba yako.

Kama wewe umeona jirani yako ni adui kwako ukaanza kumrushia mawe baadae yule adui akatoka kwake na kuingia ndani ya nyumba yako sidhani kama utandelea kurusha mawe zaidi ya kuendelea kumkabili kwa njia tifauti.
Akili za madrasa
 
Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko.....
---

Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving ‘from hideout to hideout,’ IDF on his heels, as soldiers move toward Rafah, seek to stymie resurgence in north of Strip.

Israel’s leaders claimed Monday that the IDF had killed or seriously injured half of the Hamas terror group’s fighters, and said the end of a nearly 4-month-old offensive in Gaza was a matter of months, not years, as fighting was set to spread to the southern metropolis representing the Strip’s final redoubt.

Prime Minister Benjamin Netanyahu vowed that Israel would achieve “complete victory,” even as military officials detailed resurgent fighting in areas of northern Gaza previously cleared by troops. The complicated situation underlines the difficulty Israel faces in meeting its war goals, though it looks to complete an unprecedented sweep by pushing into the southern city of Rafah.

And with Hamas’s top leaders still at liberty, Defense Minister Yoav Gallant insisted that the terror group’s Gaza leader Yahya Sinwar was on the run, out of touch with his fighters, and forced to flee from one hideout to another with the IDF hot on his heels.

FaizaFoxy kama bado hujakamatwa, tafadhali naomba uje huku utupe mustakhabali wa hali yenu, mko wapi mpaka hivi sasa.
 
Bado hujashangaa muda sio mrefu utashangaa sana
Hamas angekua anapigana na wanaume angekua kashawafyeka wale magaidi anaowakamata
Ila anapigana na wabarikiwa magaidi anaowashikilia wote wapo salama

Yaani kwa uharibifu huu bado muwe mueshikilia mateka? Hamjawaua?

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
FaizaFoxy kama bado hujakamatwa, tafadhali naomba uje huku utupe mustakhabali wa hali yenu, mko wapi mpaka hivi sasa.

Kila siku wanasema wanashinda, sasa hivi hata rockets zimeshindikana kurusha, wamejificha, akirusha moja majibu yanakuja ya kufa mtu.
 
Kuanzia October 7 hadi 27 yalikua ni majibizano ya rocket na mabomu kutokea kila mmoja kwenye ardhi yake israel anarusha na hamas wanarusha, lakini baada ya Israel kuivamia palestine kwenye ardhi yao sidhani kama kuna haja ya Hamas kurusha izo rockets kwakua adui ameingia ndani ya nyumba yako.

Kama wewe umeona jirani yako ni adui kwako ukaanza kumrushia mawe baadae yule adui akatoka kwake na kuingia ndani ya nyumba yako sidhani kama utandelea kurusha mawe zaidi ya kuendelea kumkabili kwa njia tifauti.

Rockets walikua wanarusha hata IDF wakiwa Gaza, sasa hivi wamekamatwa wameishiwa hawana chochote tena.
 
Inasikitisha sana mkuu imagine una familia kubwa unaamka asbhi kama baba ulikuwa umezoea ukiamka asbhi uende kwenye biashara zako au kazini kama umeajiriwa Leo hii hujui wapi pa kupata chochote watu waje kula, hujui ni lini changamoto hizo zitaisha, watoto shule hawaendi tena, biashara zimekufa, kazi hamna ndugu zako wa karibu wengi wamepoteza maisha ktk mgogoro huu unabaki umeshika tama tu bila kujua nini Cha kufanya.

Inasikitisha lakini waliyataka wenyewe, hawa watu walitumia nguvu nyingi sana kujiandaa kuifuta Israel, walichimba mahandaki kote, ilikua kiama kwa Israel, sema Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuliko 'mungu' wa waislamu, kainusuru Israel kwa mara nyingine.
kwa kilichofanywa Gaza, atakayerudi pale atakaa kwa kutulia na itaandikwa kwenye vitabu vyote vya hisoria kwamba Israel ni katili sio wa kushobokewa.
Wamepiga balaa

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
Hehehe Mkubali kwanza kwamba mlishindwa kwenye hiyo 1967 Six Day War na mkanyang'anywa ardhi.....
Japo hamna jipya, mumekua mnalia lia mipaka itumike sijui ya 1948 sasa mumerudi kuja 1967.... bado hamjasema....maana Gaza imechukuliwa tena.
😅😅😅😅
 
Hamas siku hizi wanajipigia hao IDF kama kuwinda nguruwe kwenye shamba la miwa.
 
Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko.....
---

Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving ‘from hideout to hideout,’ IDF on his heels, as soldiers move toward Rafah, seek to stymie resurgence in north of Strip.

Israel’s leaders claimed Monday that the IDF had killed or seriously injured half of the Hamas terror group’s fighters, and said the end of a nearly 4-month-old offensive in Gaza was a matter of months, not years, as fighting was set to spread to the southern metropolis representing the Strip’s final redoubt.

Prime Minister Benjamin Netanyahu vowed that Israel would achieve “complete victory,” even as military officials detailed resurgent fighting in areas of northern Gaza previously cleared by troops. The complicated situation underlines the difficulty Israel faces in meeting its war goals, though it looks to complete an unprecedented sweep by pushing into the southern city of Rafah.

And with Hamas’s top leaders still at liberty, Defense Minister Yoav Gallant insisted that the terror group’s Gaza leader Yahya Sinwar was on the run, out of touch with his fighters, and forced to flee from one hideout to another with the IDF hot on his heels.

Uhara mtupu, unawapangia Hamas namna ya kupigana, yaani wewe upo Africa mwili umevimba UTI unataka Hamas wakupe ramani ya vita daaa!

Kila siku wanauwa wanajeshi kwenye mitego yako.

Jana Marekani wamewafuata Qatar waambe Hamas wakae meza noja wamalize vita wapate mateka wao na vita viishe Israel kaishatema ndoano kabikia kushambulia watoto na wanawake pamoja na hospital.
 
Back
Top Bottom