Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Inajulikana nia ya HAMAS ni kuwafuta waisrael na Taifa lao lote 100%, walijaribu ule usiku walipovamia Israel na walifanikiwa kuua raia 1000, na Gaza ilikuwa sherehe kubwa sana, sasa Leo Gaza inageuzwa mchanga mnalia eti Israel ni magaidi, hivi mlitegemea maua au mabomu? na akili za ndugu zetu ni death to Israel na hawataki compromise yeyote ile, hata 2 state solution walikataa, acha wapigwe tuu maana Israel asipofanya hivyo yeye ndio watamsafisha