Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanarusha rockets kutoka kwenye chemba za choo sasa hivi.Kila siku wanasema wanashinda, sasa hivi hata rockets zimeshindikana kurusha, wamejificha, akirusha moja majibu yanakuja ya kufa mtu.
Si muwasaidie mabwana zenu kuwaokoa mateka wao kwenye chemba za choo huoni kama wanapata shida sana.Wanarushia rockets kutoka kwenye chemba za choo sasa hivi.
Hakuna kitu hicho, labda one state solution. Unaposema nchi 2 nana apewe Jerusalem? Huo ni mgogoro mwingine. Chuki za kidini zimewafikisha mbali sana hao waarabu na wayahudiTwo state solution haiepukiki kwasasa, kwahiyo watapata nchi kamili
Wewe ndiyo unasema ipo siku watapata nchi yao hata wewe ukifa watoto wako watakuwepo wataona.Hakuna kitu hicho, labda one state solution. Unaposema nchi 2 nana apewe Jerusalem? Huo ni mgogoro mwingine. Chuki za kidini zimewafikisha mbali sana hao waarabu na wayahudi
Hizo fikra zako wewe pambana na UTI.Hii ya Gaza Haijawahi Kutokea wabaki na Mateka ila Gaza Watakimbia Wote hakuna Mpalestina atasahau Kilicho tokea
Pale kuna kitu wanaita East Jerusalem hiyo ndio eneo ambalo Palestina wanataka wapeweHakuna kitu hicho, labda one state solution. Unaposema nchi 2 nana apewe Jerusalem? Huo ni mgogoro mwingine. Chuki za kidini zimewafikisha mbali sana hao waarabu na wayahudi
Unafikiri kila mtu anaishi kwa shemeji kama weweUnaongea haya huku ukiwa sebuleni kwenye kochi la shemeji yako
Mara ya mwisho tarehe 29/1/2024 sasa wewe ulitaka warushe kila siku , imepita wiki moja na siku mbili tuHawana ubavu wa kurudia tena, nadhani hawakutegemea Gaza itafanywa ilichofanywa.....
Uwezo wa kurusha rocket umeisha kabisa
![]()
Mara ya mwisho tarehe 29/1/2024 sasa wewe ulitaka warushe kila siku , imepita wiki moja na siku mbili tu
Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko.....
---
Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving ‘from hideout to hideout,’ IDF on his heels, as soldiers move toward Rafah, seek to stymie resurgence in north of Strip.
Israel’s leaders claimed Monday that the IDF had killed or seriously injured half of the Hamas terror group’s fighters, and said the end of a nearly 4-month-old offensive in Gaza was a matter of months, not years, as fighting was set to spread to the southern metropolis representing the Strip’s final redoubt.
Prime Minister Benjamin Netanyahu vowed that Israel would achieve “complete victory,” even as military officials detailed resurgent fighting in areas of northern Gaza previously cleared by troops. The complicated situation underlines the difficulty Israel faces in meeting its war goals, though it looks to complete an unprecedented sweep by pushing into the southern city of Rafah.
And with Hamas’s top leaders still at liberty, Defense Minister Yoav Gallant insisted that the terror group’s Gaza leader Yahya Sinwar was on the run, out of touch with his fighters, and forced to flee from one hideout to another with the IDF hot on his heels.
Hawana ubavu wa kurudia tena, nadhani hawakutegemea Gaza itafanywa ilichofanywa.....
Uwezo wa kurusha rocket umeisha kabisa
![]()
Matusi ni sehemu ya dini yako eti?Si muwasaidie mabwana zenu kuwaokoa mateka wao kwenye chemba za choo huoni kama wanapata shida sana.
Aha wapi jamaa wameliwa, mji umebaki ukiwa, wameshindwa kurusha rockets maana kurusha moja inadunguliwa, halafu inawaletea maafa mara mia zaidi....
Wapalestina 100,000 hawajulikani waliko, aidha wameuawa au kutoweka
Mji umebaki ukiwa, watu wameuawa na wengine wengi kupoteana, mpaka sasa kama HAMAS hawajutii, bila shaka hao ndio magaidi wa dini haswa. Recently, the United Nations agencies have released alarming statistics regarding the casualties of the Gaza war, indicating that approximately 100,000...www.jamiiforums.com
Hawa jamaa wanadanganywa sana na dada yao kibaka FaizaFoxyKila siku wanasema wanashinda, sasa hivi hata rockets zimeshindikana kurusha, wamejificha, akirusha moja majibu yanakuja ya kufa mtu.
Mji umebaki Magofu matupu.Yaani kwa uharibifu huu bado muwe mueshikilia mateka? Hamjawaua?
![]()