Hivi lini mwisho HAMAS kurusha roketi kuelekea Israel? Jamaa wamezimwa kabisa

Hamas Wakirudia Tena Linadondoshwa Kama Heroshima na Nagasaki Ubishi Uishe Ndo Watakuwa na Adabu
 
Gaza pamekuwa kama Nagasaki.
 
Akili za madrasa
 
FaizaFoxy kama bado hujakamatwa, tafadhali naomba uje huku utupe mustakhabali wa hali yenu, mko wapi mpaka hivi sasa.
 
Bado hujashangaa muda sio mrefu utashangaa sana
Hamas angekua anapigana na wanaume angekua kashawafyeka wale magaidi anaowakamata
Ila anapigana na wabarikiwa magaidi anaowashikilia wote wapo salama

Yaani kwa uharibifu huu bado muwe mueshikilia mateka? Hamjawaua?


 
FaizaFoxy kama bado hujakamatwa, tafadhali naomba uje huku utupe mustakhabali wa hali yenu, mko wapi mpaka hivi sasa.

Kila siku wanasema wanashinda, sasa hivi hata rockets zimeshindikana kurusha, wamejificha, akirusha moja majibu yanakuja ya kufa mtu.
 

Rockets walikua wanarusha hata IDF wakiwa Gaza, sasa hivi wamekamatwa wameishiwa hawana chochote tena.
 

Inasikitisha lakini waliyataka wenyewe, hawa watu walitumia nguvu nyingi sana kujiandaa kuifuta Israel, walichimba mahandaki kote, ilikua kiama kwa Israel, sema Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuliko 'mungu' wa waislamu, kainusuru Israel kwa mara nyingine.
kwa kilichofanywa Gaza, atakayerudi pale atakaa kwa kutulia na itaandikwa kwenye vitabu vyote vya hisoria kwamba Israel ni katili sio wa kushobokewa.
Wamepiga balaa

 
Hehehe Mkubali kwanza kwamba mlishindwa kwenye hiyo 1967 Six Day War na mkanyang'anywa ardhi.....
Japo hamna jipya, mumekua mnalia lia mipaka itumike sijui ya 1948 sasa mumerudi kuja 1967.... bado hamjasema....maana Gaza imechukuliwa tena.
😅😅😅😅
 
Hamas siku hizi wanajipigia hao IDF kama kuwinda nguruwe kwenye shamba la miwa.
 
Uhara mtupu, unawapangia Hamas namna ya kupigana, yaani wewe upo Africa mwili umevimba UTI unataka Hamas wakupe ramani ya vita daaa!

Kila siku wanauwa wanajeshi kwenye mitego yako.

Jana Marekani wamewafuata Qatar waambe Hamas wakae meza noja wamalize vita wapate mateka wao na vita viishe Israel kaishatema ndoano kabikia kushambulia watoto na wanawake pamoja na hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…