Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

I will remain yours as long as you treat me right.
I will treat u the way i treated u the first time we met, the first time u said yesss... coz u r my queen
 
Mbona namfagilia kila siku jamani? Au mpaka niweke bango mjini ndo utaridhika? Hehehehe hao ndo hivyo, majina tu wanapeana.

Hahaahaha. . .basi ntakua nakakikisha nakupa kiasi unachohitaji TU.Yani hata ya pipi haibaki. Alafu wa kakondooo mitaa ipi hiyo?
 
Vitatu vichache honey, inatakiwa watoto wetu wawe kila mtoto na chumba chake. Kiwanja chenyewe cha kupewa sasa tujibane ili iweje? Nitapiga marufuku wageni wasitutembelee kila mara. Tufanye vyumba vitano.

Kheee. . .kwahiyo watoto wanne wote? Acha mchezo wewe. . . labda kama utanisaidia kubeba. Wawili tu wanatutosha.
 
Kheee. . .kwahiyo watoto wanne wote? Acha mchezo wewe. . . labda kama utanisaidia kubeba. Wawili tu wanatutosha.

Sawa mama watoto, nimekuelewa. Hii hela ya vyumba viwili iliyobaki tutanunulia power tiller ili tuanzishe shamba letu kubwa la matunda tuanze biashara ya matunda. Naona mananasi yanastawi kwa wingi huku.
 
And you. . are you my king or servant?!
The king serves only one person, the Queen and the same to the Queen...........Call me your King but i serve only u!
 
Sawa mama watoto, nimekuelewa. Hii hela ya vyumba viwili iliyobaki tutanunulia power tiller ili tuanzishe shamba letu kubwa la matunda tuanze biashara ya matunda. Naona mananasi yanastawi kwa wingi huku.
Sasa hayo ndio maneno. . .
Tutatajirika before you know.it.
 
Hhmm.
How you gonna serve me my King?
Will give you everything you ever dreamed of, will make you wish to never die............will love you like no one ever loved a woman since the beginning of time.......My Queen
 
Will give you everything you ever dreamed of, will make you wish to never die............will love you like no one ever loved a woman since the beginning of time.......My Queen

Hhhhhmmmmmmmmmmmm
 
Haya sasa mwenyewe nimerudi wewe musimo jr sitakikuona tena hapa na wewe sumu sijui unamlisha sumu gani huyu lizzy mpaka anaanza kulegea nitakuitia polisi, lizzy njoo twende mama hawa wanakuhadaa tu maneno yao tu mdomoni moyoni wamejaza vyuma tena vina kutu wakisha kula tunda wanakula kona, usiwasikilize hao, twenzetu mama
 
Mwanaume kujiamini.

Tunaelekea wapi sasa?
 
LOL! Nitonye ni bora ucheze na kazi yangu lakini siyo mahabuba. Hapa nilipo ninaona wivu hadi basi mnavyomsumbua barafu wangu wa moyo, ningekuwa na uwezo ningeiDelete hii thread kwasababu moyo unaniuma mnavyomsifia.
 
Roho yako mbaya kama ilivyo avatar yako, and as i know Lizzy my Queen, hapo utaishia kula kwa macho tu she will always be mine so nakuruhusu uwe bodyguard wake
 
Wewe kaa ndani mwenzio nimeshampandisha kwenye treni ya umeme naenda nae nyumbani kwangu mtoto atulie lol mmemlisha maneno ya mahaba utadhani mmetumwa
 
Roho yako mbaya kama ilivyo avatar yako, and as i know Lizzy my Queen, hapo utaishia kula kwa macho tu she will always be mine so nakuruhusu uwe bodyguard wake

Usiwe na hasira nitakupa ubestman siku ya kufunga pingu za maisha
 
We nitonye ulishaona mko kwa altar halafu bride anakukana anaondoka na best man? Then watch out for that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…