Wewe kaa ndani mwenzio nimeshampandisha kwenye treni ya umeme naenda nae nyumbani kwangu mtoto atulie lol mmemlisha maneno ya mahaba utadhani mmetumwa
We nitonye ulishaona mko kwa altar halafu bride anakukana anaondoka na best man? Then watch out for that
Kwasababu najiamini napendwa, mimi nitampandisha kwenye kibajaji.
Hahaah. . . .
Ngoja niangalie mpambano. Atakaeshinda huyo ndie haswaaa anaenifaa.
Popote nitakapokuwa atakuja mwenyewe kama mbwa anavyokuwa kwa chatu
"Lizzy kumbuka,
Kupata ni majaliwa,
Mapenzi si mali,
Wala si pesa,
Penzi ni dhamana,
Ya Moyo wa mtu"
Nimekuimbia hadi song la enzi hizo, usiponionea huruma Lizzy basi ni bora niikimbie dunia.
"Lizzy kumbuka,
Kupata ni majaliwa,
Mapenzi si mali,
Wala si pesa,
Penzi ni dhamana,
Ya Moyo wa mtu"
Nimekuimbia hadi song la enzi hizo, usiponionea huruma Lizzy basi ni bora niikimbie dunia.
Huo wimbo kipindi hicho lizzy hajazaliwa acha kuleta mambo ya mwaka 47 unadhani atakusikiliza hivyo wewe nenda kalale nipo nae hapa anakuangalia unavyoangahika
Huo wimbo kipindi hicho lizzy hajazaliwa acha kuleta mambo ya mwaka 47 unadhani atakusikiliza hivyo wewe nenda kalale nipo nae hapa anakuangalia unavyoangahika
Hehehehe. . . We mkorofi kweli.
Anakuchuna vihela vyako vya "kiinua mgongo" mwisho wa siku atakuja kunihonga mimi.
Embu niimbie 'embe dodo' . . . .
Loh. . Loh. .. LohAnakuchuna vihela vyako vya "kiinua mgongo" mwisho wa siku atakuja kunihonga mimi.
Sio kwamba atakuwa anakuhonga bali atakuwa anakupa ili kukupoza na machungu utakayokuwa nayo ilihali umsahau kabisa wewe lizzy humjui
Embe dodo, Embe dodo, Limelala mchangani X2
Kwa huba na mazoea, uwe wangu wa milele X2
Kolo kolola, mama kolola kolola X2
Sio kwamba atakuwa anakuhonga bali atakuwa anakupa ili kukupoza na machungu utakayokuwa nayo ilihali umsahau kabisa wewe lizzy humjui