Loh. . Loh. .. Loh
Kumbe wahitaji kuhongwa?
Loh. . Loh. .. Loh
Kumbe wahitaji kuhongwa?
mimi valid statement hajanipa kitu mbona????
labda nyinyi wengine?
embu mtuhadithie wanaume wengine wa jf kawapa nini?
Duh!! Kwa hiyo ina maana huyu Lizzy ni maarufu kumzidi FaizaFoxy?
Watoto mmemaliza kubishana na kupigana vijembe mi nisepe na malkia wangu? Màana nliacha watoto wajifunze kutokea vitu vikali sio kila siku kina mwajuma ndala ndefu
Watoto mmemaliza kubishana na kupigana vijembe mi nisepe na malkia wangu? Màana nliacha watoto wajifunze kutokea vitu vikali sio kila siku kina mwajuma ndala ndefu
habari ya asubuhi mamaa lizzy
Mwajuma Ndala Ndefu. . . lolz
Jamani raha kugombaniwa. . .
Sasa unampeleka wapi malkia akapate kifungua kinywa.?
Salama salmini. . .
Umeamkaje weye? Uko tayari kuendelea na mpambano?
Aa mama mimi nimeamka salama huu mpambano naona unakaribia kuisha
Kachukue tunywee nyumbani bana. Alafu yangu iwe na iliki na tangawizi. . .Jiandae darling nikupeleke KumkomaNyaniGiladi tukapate chai ya rangi kwa chapati na maharagwe.
Aa mama mimi nimeamka salama huu mpambano naona unakaribia kuisha
Jina la mshindi unalo tayari mezani kwako mama, maana nimetupia jicho nimeliona ndio maana sina wasiwasiMshindi. . . . ?
mkuu nitonye inaonekana wewe ukimtokea duu unaanza ku kuwapondea rafiki zake wa kiume
Mkuu Nitonye hujaona huu uzi au unavunga? Jibu mashtaka yako please.