missed the boat or?? Unanilet down jombaa!
Hata mimi huwa najikaza kisabuni tu, but I have a crash on her! 🙂
Crush..
Thanks Nyani....Lugha ya Malkia hiyo sijui hata kwanini huwa naikimbilia!
Sindo unajifunza. .
Hata Nyani hua haiendi yenyewe, shurti isindikizwe na Ngabu.
Nwy asante bana, usiwe unajikaza sana.
Okei! Kumbe hata Nyani nayo nimekosea ilitakiwa nitamke Nyani Ngabu! Duh! Kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
Nimerudi sasa lizzy wangu yuko wapi mbona simuoni, nitaua mtu leo ngoja niende kwa Sumu au atakuwa kwa Musimo jr
We Masaki umekua mgeni lini tena? Mbona kama mwenyeji hapa mtaani?
Lizzy mimi mgeni kwenye jukwaa hili ya Chit-Chat; ndio mara ya kwanza leo kuingia hapa.
Ohhhh basi karibu sana.
@ Jr. . . Nitty. . . Sumu naona maneno mengi tu, embu fanyeni kweli nichague mshindi bana.
Paw hebu iwekee sticky hii mada. Hivyo yeyote yule atayejisikia kufunguka kwa Lizzy anakuja hapa anafunguka.
Yaani hapa nilipofikia ndo nimejitutumua hadi mwisho. Nasubiri huruma yako tuuuu.
Loh. . . mapenzi ya huruma tena? Hiyo biashara sifanyi babaangu.
Loh. . . mapenzi ya huruma tena? Hiyo biashara sifanyi babaangu.
Daaaaah! Kisicho ridhiki hakiliki na asiyekubali kushindwa si mshindani. Nimenyoosha mikono juu nawaachia na wenzangu wajaribu bahati yao.