Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

14 days za kutengeneza ushahidi ehhhh?
Mpaka hapo huo ushahidi (hata kama upo kweli) hauaminiki.
Sa si nakusanya uthibitisho jamani.............natafuta na mashahidi (kongosho) akiwemo
 
Hamna kitu hapo. . . .mi mtoto mzuri sana.
Aaaah unajua sio kama being naughty ndo umekuwa mtoto mbaya, halafu mi sijasema we mtoto mbaya i know u r mtoto mzuri i just said u r NAUGHTY......Teh Teh!
 
Unajua Musimo Jr, wanaume huwa wanakuwa more excited wakiwa challenged! na hii ndo moja wapo ya sifa za Lizzy, I love her for that.
 
Simpendi Lizzy anajipaisha sana!
Dah kumbe Lizzy ana mabawa!.....Lizzy mi napata tabu ya kutafuta hela nipande precision kumbe we una mabawa!
 
Aaaah unajua sio kama being naughty ndo umekuwa mtoto mbaya, halafu mi sijasema we mtoto mbaya i know u r mtoto mzuri i just said u r NAUGHTY......Teh Teh!
Bila ushahidi i'm just a good girl. . . .
 
Unajua Musimo Jr, wanaume huwa wanakuwa more excited wakiwa challenged! na hii ndo moja wapo ya sifa za Lizzy, I love her for that.
Thanx wangu, so wanaume wanapenda mtu ambaye anaweza kuwapa nyongeza ya walichonacho eeh, kwa maana ntingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…