Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Ye amewahi kuja kukanusha ya kwamba hahusiki kwa lolote?Kizazi kipi, cha Makonda?
Unafiki na uongo huleta laana ya kudumu. Mzee Lowasa amesingiziwa saaana. Ilikuwa ni wivu tuu kwa vile Watanzania hatupendi elites [werevu].
Hadi leo tofauti na wengine hatujawahi kuambiwa Mzee Lowasa alifisadi fedha kiasi gani!!!!. Za Escrow, Meremeta nk tuliambiwa na wahusika ni kina nani.
Kama ndio nijuze kama ni hapana kwanin achague kukaa kimya?