Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kama hujui ni bora ukae kimya, kuliko kutetea usilolijua..Sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui ni bora ukae kimya, kuliko kutetea usilolijua..Sijui
Onesha nimetetea nini.Kama hujui ni bora ukae kimya, kuliko kutetea usilolijua..
Huo utani ni wa upande mmoja, yeye akioversize suti tukimtania FUNDI mnatusweka ndani na uhujumu uchumi!Mambo mengine mtu akiongea unaona kabisa anatania.Ila mnavyoyashupalia sasa! Kwan kwenye hotuba yote anayoongea huwa mnaona hayo tu?
Unaposema utani tu ina maana unataka tuone la kawaida tu... Ni kutaka tuone kilichotokea ni sawa... HUKO NDO KUTETEAOnesha nimetetea nini.
Unaota?
Tangulia weweKwahiyo hamtaki wanawake wachukuliwe na wasukuma. Ovyooo
Ulishatania wanaume akakuweka behind doors?Huo utani ni wa upande mmoja, yeye akioversize suti tukimtania FUNDI mnatusweka ndani na uhujumu uchumi!
Utafiti umeonesha Kuna ukweli katika neno natania tu!Mambo mengine mtu akiongea unaona kabisa anatania.Ila mnavyoyashupalia sasa! Kwan kwenye hotuba yote anayoongea huwa mnaona hayo tu?
Wewe ndiyo unaona udhalilishaji, ila kwa kweli huyu mheshimiwa rais ni mtu wa utani sana, kama anavyosemaga anachomekea
Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere
- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa
#JFMagufuli
Mkuu ni kweli nimewarefer kwenye majibu yangu hapo chini! Watanzania sijui tumelogwa na nani? Hivi hata historia ndogo hivi haiwezi kutualert!??Waulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!
HapanaNa hili pia alisema?
Mhh mimi sidhaniWewe ni chombo cha starehe?
Haya sasa lete hiyo stori, ilikuwaje?Waulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!
Mhh mkuu jazia nyama kidgo plsWaulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!