Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

Ndugu Zangu Mmenielewa
😀😁😂😅😄😃🤣
 
Nyerere alikuwa mtu wa utani sana. Lakini alijua kutania bila kutumia mifano ya ngono ngono tu kila wakati.
 
Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere

- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa

#JFMagufuli

Accident to Tanzania voters! This person is a notorious women abuser. He has the history from his own children/daughter! and also our daughters at Mabibo hostel know more. Let us get back to his history during this election period or else the coming 5years will be hell on earth for women and Tanzanians in general.
Go back to his family and dig out and you will find a devil incarnate.
Go back to the Ministries he served and you will find an animal of another species other than a homo sapien.
Go back to Mabibo hostel during his time of pretense of taking the worthless studies and you will find abuses beyond human imagination.
 
Waulize aliosoma nao UDSM (1984/85-86/87) jinsi alivyomshambulia girl friend wake nusura amuue!
Mkuu ni kweli nimewarefer kwenye majibu yangu hapo chini! Watanzania sijui tumelogwa na nani? Hivi hata historia ndogo hivi haiwezi kutualert!??
 
Yani shwari hamna shari mimi na mabinti damu damu
 
Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere

- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa

#JFMagufuli

Wasukuma na Wazaramo au kwa ujumla makabila yote yaliyopo mkoa wa pwani, ni watani wa Jadi wa wasukuma. Msukuma pia ana utani na makabila yote yanayoishi mikoa ifuatayo: Singida, Dodoma, Morogoro, Pwani, Dar es Salaam, na mikoa yote ya Kusini kwa wajukuu zangu akina Majaliwa na akina Pinda, ukiondoa Mbeya peke yake. Ondoa pia mikoa ya Kaskazini, Arusha na Moshi, ila Arusha wamaasai nao pia ni watani wa msukuma kwa kuibiana ng'ombe! Mikoa mingine yote ikiwemo ile ya Kanda ya Ziwa pamoja na Kigoma hakuna watani wa wasukuma!

Zaidi ni kuwa mahusiano haya ya utani huu ni legal na yanatambulika na sheria za JMT, na si utani tu ambao hauna guidance yoyote ya kisheria
 
Jana mh. alisema wale jamaa wanaosemaga 'NIANGUSAGE TU DHAMBI NI KWAKO akamalizia unamuangushia kwny lami mtani wangu,hahahah
 
Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere

- Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa

#JFMagufuli

Mtu huyanena yaujazayo moyo wake
 
Back
Top Bottom