ILE KUWA WALISEMA HE HAS A CASE TO ANSWER, THE JUDGEMENT IS PRE DETERMINEDHakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case iliyosema TL has a case to answer.
Nakumbuka Mhe Jaji Mkuu Mstaafu, mzee wangu Barnabas Albert Samatta aliwahi kuwaambia hivi mahakimu ktk ufunguzi wa moja ya mikutano yao, ambao mimi nilihudhuria kama mwandishi wa habari za mahakama:-
"Hakimu au Jaji unaposikiliza kesi ya jinai katika mahakama ya wazi, wasikilizaji makini hufuatilia ushahidi wote kwa kiwango cha upeo wao wa uelewa. Hivyo, kabla hujatoa hukumu, hao wananchi na hasa mshitakiwa mwenyewe anakuwa na hukumu yake. Wanachosubiri tu ni wewe hakimu usome hukumu yako wao walinganishe na hukumu ya kwao.
Ikiwa hukumu yako ipo sawa na ya kwao, wanaamini haki imetendeka. Ikiwa tofauti, wanasikiliza kwa makini uchambuzi wako wa ushahidi unaotofautisha na wa kwao pamoja na sababu unazotoa za kumtia hatiani mshitakiwa au kumwachia huru.
Wakiridhishwa na uchambuzi wako wa ushahidi pamoja na sheria ilivyokuongoza, wanaweza Kuaminishwa haki imetendeka. Lakini ikiwa hukumu yako haielezi vizuri ushahidi wote na kueleza kosa lilivyodhibitika bila shaka yoyote au kutodhibitika bila shaka yoyote, wananchi wafuatiliaji (msikilizaji wa kesi yote mahakamani) wataona Hakimu au Jaji hakutenda haki.
Hivyo hakimu jitahidi kuwa makini wakati wa kusikiliza kesi ukitambua kuna wasikilizaji ambao nao wataandika hukumu zao. Aidha, sheria haiwazuii watu wengine kusikiliza kesi unayoendesha na kutoa maoni yao baada ya hukumu.
Kwa upande wa mshitakiwa akitiwa hatiani na kupewa adhabu, huwa ana haki ya kukata rufaa. Wewe mwenyewe unapaswa kutamka unampa hiyo haki meaning ya hukumu yako. " (Hiyo nukuu sio rasmi ila nimeparaphrase kwa kumbukumbu niliyonayo ya about 30 yrs ago).
AAK Jnr, SC, Esq. 16th September, 2026
Jaji Ndunguru tayari ana hukumu ya kumtia hatiani Lissu hlf badae Lissu aje akate rufaa kabla hajakata rufaa Rais atamsamehe huenda rufaa ya Lisu ikaenda hadi mahakama ya rufaa ambayo huenda ikachukua hadi miaka 3 kusikilizwa kutokana na danadana.Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case iliyosema TL has a case to answer.
Nakumbuka Mhe Jaji Mkuu Mstaafu, mzee wangu Barnabas Albert Samatta aliwahi kuwaambia hivi mahakimu ktk ufunguzi wa moja ya mikutano yao, ambao mimi nilihudhuria kama mwandishi wa habari za mahakama:-
"Hakimu au Jaji unaposikiliza kesi ya jinai katika mahakama ya wazi, wasikilizaji makini hufuatilia ushahidi wote kwa kiwango cha upeo wao wa uelewa. Hivyo, kabla hujatoa hukumu, hao wananchi na hasa mshitakiwa mwenyewe anakuwa na hukumu yake. Wanachosubiri tu ni wewe hakimu usome hukumu yako wao walinganishe na hukumu ya kwao.
Ikiwa hukumu yako ipo sawa na ya kwao, wanaamini haki imetendeka. Ikiwa tofauti, wanasikiliza kwa makini uchambuzi wako wa ushahidi unaotofautisha na wa kwao pamoja na sababu unazotoa za kumtia hatiani mshitakiwa au kumwachia huru.
Wakiridhishwa na uchambuzi wako wa ushahidi pamoja na sheria ilivyokuongoza, wanaweza Kuaminishwa haki imetendeka. Lakini ikiwa hukumu yako haielezi vizuri ushahidi wote na kueleza kosa lilivyodhibitika bila shaka yoyote au kutodhibitika bila shaka yoyote, wananchi wafuatiliaji (msikilizaji wa kesi yote mahakamani) wataona Hakimu au Jaji hakutenda haki.
Hivyo hakimu jitahidi kuwa makini wakati wa kusikiliza kesi ukitambua kuna wasikilizaji ambao nao wataandika hukumu zao. Aidha, sheria haiwazuii watu wengine kusikiliza kesi unayoendesha na kutoa maoni yao baada ya hukumu.
Kwa upande wa mshitakiwa akitiwa hatiani na kupewa adhabu, huwa ana haki ya kukata rufaa. Wewe mwenyewe unapaswa kutamka unampa hiyo haki meaning ya hukumu yako. " (Hiyo nukuu sio rasmi ila nimeparaphrase kwa kumbukumbu niliyonayo ya about 30 yrs ago).
AAK Jnr, SC, Esq. 16th September, 2026
kwa zaidi ya 72% ushahidi na utetezi wa Mnyika, Amani, Brenda na heche umeshamtia kitanzi mwenyekiti wao. in fact ni suala la muda tu na kukamilisha ratiba na taratibu za kisheria kumaliza kazi na mtuhumiwa amalize mwendo kwa mujibu wa sheriaHakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case iliyosema TL has a case to answer.
Nakumbuka Mhe Jaji Mkuu Mstaafu, mzee wangu Barnabas Albert Samatta aliwahi kuwaambia hivi mahakimu ktk ufunguzi wa moja ya mikutano yao, ambao mimi nilihudhuria kama mwandishi wa habari za mahakama:-
"Hakimu au Jaji unaposikiliza kesi ya jinai katika mahakama ya wazi, wasikilizaji makini hufuatilia ushahidi wote kwa kiwango cha upeo wao wa uelewa. Hivyo, kabla hujatoa hukumu, hao wananchi na hasa mshitakiwa mwenyewe anakuwa na hukumu yake. Wanachosubiri tu ni wewe hakimu usome hukumu yako wao walinganishe na hukumu ya kwao.
Ikiwa hukumu yako ipo sawa na ya kwao, wanaamini haki imetendeka. Ikiwa tofauti, wanasikiliza kwa makini uchambuzi wako wa ushahidi unaotofautisha na wa kwao pamoja na sababu unazotoa za kumtia hatiani mshitakiwa au kumwachia huru.
Wakiridhishwa na uchambuzi wako wa ushahidi pamoja na sheria ilivyokuongoza, wanaweza Kuaminishwa haki imetendeka. Lakini ikiwa hukumu yako haielezi vizuri ushahidi wote na kueleza kosa lilivyodhibitika bila shaka yoyote au kutodhibitika bila shaka yoyote, wananchi wafuatiliaji (msikilizaji wa kesi yote mahakamani) wataona Hakimu au Jaji hakutenda haki.
Hivyo hakimu jitahidi kuwa makini wakati wa kusikiliza kesi ukitambua kuna wasikilizaji ambao nao wataandika hukumu zao. Aidha, sheria haiwazuii watu wengine kusikiliza kesi unayoendesha na kutoa maoni yao baada ya hukumu.
Kwa upande wa mshitakiwa akitiwa hatiani na kupewa adhabu, huwa ana haki ya kukata rufaa. Wewe mwenyewe unapaswa kutamka unampa hiyo haki meaning ya hukumu yako. " (Hiyo nukuu sio rasmi ila nimeparaphrase kwa kumbukumbu niliyonayo ya about 30 yrs ago).
AAK Jnr, SC, Esq. 16th September, 2026
Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case iliyosema TL has a case to answer.

Kwa ushaidi unaoendelea mahakamani! Hamna hata ushaidi unaohusiana na kosa la uhaini au jinai ya kawaida! Majaji watakuwa wajinga sana kama watakubari kutumiwa na watu kwa maslai yao au chuki zao kwa mshtakiwa......kwanza Lissu akutakiwa hata kukutwa na kesi ya kujibu.Jaj
Jaji Ndunguru tayari ana hukumu ya kumtia hatiani Lissu hlf badae Lissu aje akate rufaa kabla hajakata rufaa Rais atamsamehe huenda rufaa ya Lisu ikaenda hadi mahakama ya rufaa ambayo huenda ikachukua hadi miaka 3 kusikilizwa kutokana na danadana.
Bi msumi atasema amempa msamaha Lissu na itamwathiri kisiasa asigombee nafasi yoyote ya kisiasa, Kitaaluma hata CHAMANI kwake.
Hizo ni tetesi maana wanajua TL hataki maridhiano na wanaona ahadi yao ya Katiba Mpya ataivuruga.
Ngoja tusubirie
Huenda hukumu ikabadilishwa baada ya bi msumi kufiwa,
Rufaa ukikata lazima isikilizwe uwe kwenye msamaha au nje ya msamaha. Fatilia kesi ya SuguJaj
Jaji Ndunguru tayari ana hukumu ya kumtia hatiani Lissu hlf badae Lissu aje akate rufaa kabla hajakata rufaa Rais atamsamehe huenda rufaa ya Lisu ikaenda hadi mahakama ya rufaa ambayo huenda ikachukua hadi miaka 3 kusikilizwa kutokana na danadana.
Bi msumi atasema amempa msamaha Lissu na itamwathiri kisiasa asigombee nafasi yoyote ya kisiasa, Kitaaluma hata CHAMANI kwake.
Hizo ni tetesi maana wanajua TL hataki maridhiano na wanaona ahadi yao ya Katiba Mpya ataivuruga.
Ngoja tusubirie
Huenda hukumu ikabadilishwa baada ya bi msumi kufiwa,
Hukumu Gani ya kupindua serikali ukiwa pekee yako. Hayo majaji nayo vilaza tu. Unasikilizaje kesi ya uhaini ya mtu Mmoja?. Very stupidUnataka kuitisha mahakama isitoe hukumu ??
...na msoga!.Hukumu inaandaliwa huko Kizimkazi
kwa zaidi ya 72% ushahidi na utetezi wa Mnyika, Amani, Brenda na heche umeshamtia kitanzi mwenyekiti wao. in fact ni suala la muda tu na kukamilisha ratiba na taratibu za kisheria kumaliza kazi na mtuhumiwa amalize mwendo kwa mujibu wa sheria

Hukumu ya hiyo kesi ilikuwepo hata kabla Lisu hajakamatwa. Ni kama zile kura 31m alizopewa Samia, yale ni matokeo yalipangwa kabla ya uchaguzi. Ila kilichotokea siku ya uchaguzi na idadi ndogo ya wapiga kura ikaharibu setup nzima. Lakini bila aibu akatangazwa kwa hizo kura hivyohivyo.Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case iliyosema TL has a case to answer.
Nakumbuka Mhe Jaji Mkuu Mstaafu, mzee wangu Barnabas Albert Samatta aliwahi kuwaambia hivi mahakimu ktk ufunguzi wa moja ya mikutano yao, ambao mimi nilihudhuria kama mwandishi wa habari za mahakama:-
"Hakimu au Jaji unaposikiliza kesi ya jinai katika mahakama ya wazi, wasikilizaji makini hufuatilia ushahidi wote kwa kiwango cha upeo wao wa uelewa. Hivyo, kabla hujatoa hukumu, hao wananchi na hasa mshitakiwa mwenyewe anakuwa na hukumu yake. Wanachosubiri tu ni wewe hakimu usome hukumu yako wao walinganishe na hukumu ya kwao.
Ikiwa hukumu yako ipo sawa na ya kwao, wanaamini haki imetendeka. Ikiwa tofauti, wanasikiliza kwa makini uchambuzi wako wa ushahidi unaotofautisha na wa kwao pamoja na sababu unazotoa za kumtia hatiani mshitakiwa au kumwachia huru.
Wakiridhishwa na uchambuzi wako wa ushahidi pamoja na sheria ilivyokuongoza, wanaweza Kuaminishwa haki imetendeka. Lakini ikiwa hukumu yako haielezi vizuri ushahidi wote na kueleza kosa lilivyodhibitika bila shaka yoyote au kutodhibitika bila shaka yoyote, wananchi wafuatiliaji (msikilizaji wa kesi yote mahakamani) wataona Hakimu au Jaji hakutenda haki.
Hivyo hakimu jitahidi kuwa makini wakati wa kusikiliza kesi ukitambua kuna wasikilizaji ambao nao wataandika hukumu zao. Aidha, sheria haiwazuii watu wengine kusikiliza kesi unayoendesha na kutoa maoni yao baada ya hukumu.
Kwa upande wa mshitakiwa akitiwa hatiani na kupewa adhabu, huwa ana haki ya kukata rufaa. Wewe mwenyewe unapaswa kutamka unampa hiyo haki meaning ya hukumu yako. " (Hiyo nukuu sio rasmi ila nimeparaphrase kwa kumbukumbu niliyonayo ya about 30 yrs ago).
AAK Jnr, SC, Esq. 16th September, 2026
Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case iliyosema TL has a case to answer.
Nakumbuka Mhe Jaji Mkuu Mstaafu, mzee wangu Barnabas Albert Samatta aliwahi kuwaambia hivi mahakimu ktk ufunguzi wa moja ya mikutano yao, ambao mimi nilihudhuria kama mwandishi wa habari za mahakama:-
"Hakimu au Jaji unaposikiliza kesi ya jinai katika mahakama ya wazi, wasikilizaji makini hufuatilia ushahidi wote kwa kiwango cha upeo wao wa uelewa. Hivyo, kabla hujatoa hukumu, hao wananchi na hasa mshitakiwa mwenyewe anakuwa na hukumu yake. Wanachosubiri tu ni wewe hakimu usome hukumu yako wao walinganishe na hukumu ya kwao.
Ikiwa hukumu yako ipo sawa na ya kwao, wanaamini haki imetendeka. Ikiwa tofauti, wanasikiliza kwa makini uchambuzi wako wa ushahidi unaotofautisha na wa kwao pamoja na sababu unazotoa za kumtia hatiani mshitakiwa au kumwachia huru.
Wakiridhishwa na uchambuzi wako wa ushahidi pamoja na sheria ilivyokuongoza, wanaweza Kuaminishwa haki imetendeka. Lakini ikiwa hukumu yako haielezi vizuri ushahidi wote na kueleza kosa lilivyodhibitika bila shaka yoyote au kutodhibitika bila shaka yoyote, wananchi wafuatiliaji (msikilizaji wa kesi yote mahakamani) wataona Hakimu au Jaji hakutenda haki.
Hivyo hakimu jitahidi kuwa makini wakati wa kusikiliza kesi ukitambua kuna wasikilizaji ambao nao wataandika hukumu zao. Aidha, sheria haiwazuii watu wengine kusikiliza kesi unayoendesha na kutoa maoni yao baada ya hukumu.
Kwa upande wa mshitakiwa akitiwa hatiani na kupewa adhabu, huwa ana haki ya kukata rufaa. Wewe mwenyewe unapaswa kutamka unampa hiyo haki meaning ya hukumu yako. " (Hiyo nukuu sio rasmi ila nimeparaphrase kwa kumbukumbu niliyonayo ya about 30 yrs ago).
AAK Jnr, SC, Esq. 16th September, 2026
Kama Jaji Chande Aliendq kuchunguza huku akiwa na pre conceived report yakeHukumu inaandaliwa huko Kizimkazi