Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

kwa zaidi ya 72% ushahidi na utetezi wa Mnyika, Amani, Brenda na heche umeshamtia kitanzi mwenyekiti wao. in fact ni suala la muda tu na kukamilisha ratiba na taratibu za kisheria kumaliza kazi na mtuhumiwa amalize mwendo kwa mujibu wa sheria

Hayawani punguani kama wewe, tangu lini umawa na uwezo wa kuchambua ushahidi!
Wewe endelea na uchawa usiohitaji akili, ndicho pekee unaweza kumudu kwa sababu uchawa hauhitaji akili.
 
Hayawani punguani kama wewe, tangu lini umawa na uwezo wa kuchambua ushahidi!
Wewe endelea na uchawa usiohitaji akili, ndicho pekee unaweza kumudu kwa sababu uchawa hauhitaji akili.
tuliza mihemko na makasiriko gentleman,
imeisha hiyo 🐒
 
Katika shauri ambalo majaji wapo makini sana ni hili. Mimi sidhani kama wataliamua kwa hisia, msukumo, au shinikizo kutoka sehemu yeyote maana wataumbuka sana.

All in all hati ya mashtaka imeweka kile ambacho ndio kesi yenyewe, so vingine vyote ni hisia binafsi. Pia ushaidi ndio utakaoamua hukumu itokaje..
 
nchi za kiafrika nyingi ni za Giza. waliomba na kudai uhuru. ila hawawezi kujitawala. wanashiwishiana kuchapana wenyewe kwa wenyewe
 
kwa zaidi ya 72% ushahidi na utetezi wa Mnyika, Amani, Brenda na heche umeshamtia kitanzi mwenyekiti wao. in fact ni suala la muda tu na kukamilisha ratiba na taratibu za kisheria kumaliza kazi na mtuhumiwa amalize mwendo kwa mujibu wa sheria
Gerson amekuandikia hukumu?
 
Gerson amekuandikia hukumu?
imeisha hiyo gentleman,
myika, Brenda,amani na heche wamemtia adabu na kitanzi mwenyekiti wao ili iwe fundusho kwa wakiuka sheria na waropokaji kama huyo kibaraka 🐒
 
Ukizingatia Mahakama zetu zinapokea maelekezo toka juu,Hukumu ilishaandaliwa.
 
Jaji Ndunguru kwa kuwaita hao viongozi wa Usalama yamkini kuna turning point anaifanya ama kuna jambo anataka pia umma ufahamu. So far Mahakama inadharaurika sana, karibu kila chombo cha muhimu ndani ya nchi kinaonekana takataka.

Polisi, Bunge, Mahakama na very soon ni JWTZ.
 
Mwoneni huyu mpumbavu, hana hata aibu. Wafuasi wa chadema ni viumbe wa hovyo ni vigumu kudeal nao, hiyo kesi wakishindwa ndiyo hayo kwamba majaji tayari wana maamuzi au maelekezo kutoka juu, huyo kibaraka akishinda hii mitandao itajaa server zao, wataitukana na kuikejeli serikali. Ni viumbe wa hovyo kutokea na alituambia Hezekiah Wenje
 
Lioneni hili zombie
 
Wewe kama mwandishi wa habari naona kuna makosa ya kiuandishi umefanya wakati unamnukuu jaji.

Umeandika 'ikidhibitika' badala ya 'ikithibitika' tunaandika 'dhahabu' hatuandiki 'thahabu'
 
Wewe kama mwandishi wa habari naona kuna makosa ya kiuandishi umefanya wakati unamnukuu jaji.

Umeandika 'ikidhibitika' badala ya 'ikithibitika' tunaandika 'dhahabu' hatuandiki 'thahabu'
Mpaka humo upo
 
imeisha hiyo gentleman,
myika, Brenda,amani na heche wamemtia adabu na kitanzi mwenyekiti wao ili iwe fundusho kwa wakiuka sheria na waropokaji kama huyo kibaraka 🐒
Msalimie Nchimbi

Fikisha salaam zangu kwake
 
Kama ataki maridhaiano sisi inatuhadhiri vipi?Naomba kuuliza kwani Lissu ni zaidi ya Tanzania?
 
Kwanini mnalazimisha muingie na maridhiano nae ikiwemo kumpa condition fulani
Nani anamtafuta kusudi awe nae kwenye maridhiano..ndugu mambo yanaenda,watu wanapiga kazi zao wanasiasa nao wapo kazini. Pole yako
 
Kesi ya kupika hiyo chief, kumkomoa Lissu na Chadema.
 
Hawa Wajinga hukumu wanayo tayari, lakini ngoja tuone watapata aibu kubwa sana maishani mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…