Hivi maji ya Dodoma yana peroxide?

Hivi Dodoma kwa sasa kuna maji ya kutosha? Nakumbuka nilishawahi kuoga maji kwenye beseni la kunawia mikono nilipomtemblea jamaa yangu aliyekuwa anaishi eneo la Makole mwaka 1977!
Shida ya maji ipo palepale.
Sasa hivi ni mwendo wa mgawo tu jiji zima! Na huu mgawo umeanza toka August!

Dodoma yakijinga sana tunaishi basi tu, ila huyu mleta uzi aliyesema ukiogea ngozi inaharibika si kweli atakuwa na ngozi mbaya au kavu.
 
Hiyo ni chemistry ya form ii,
Hard water and soft water
 
nileteeeni gwajimaaaa
 
Nilikuwa na wazo la kutafuta eneo la kuweka hekalu la maana huko makao makuu, sasa itabidi nifanye tafakuri ya kina
 
Na kwa taarifa yake, kama ndio kahamia, baada ya miaka mitatu hadi minne ataanza kuvaa miwani!

Jua la Dodoma linaozesha macho!😃😃😃 ...hutaki unaacha!
 
Na kwa taarifa yake, kama ndio kahamia, baada ya miaka mitatu hadi minne ataanza kuvaa miwani!

Jua la Dodoma linaozesha macho![emoji2][emoji2][emoji2] ...hutaki unaacha!

Kama jua hata wale wa jangwa la sahara na dubai wangekuwa vipofu wengi kwa nini hapo dodoma pako hivo
 
Shida ya maji ipo palepale.
Sasa hivi ni mwendo wa mgawo tu jiji zima! Na huu mgawo umeanza toka August!

Dodoma yakijinga sana tunaishi basi tu, ila huyu mleta uzi aliyesema ukiogea ngozi inaharibika si kweli atakuwa na ngozi mbaya au kavu.
Kweli sio maji yanayo haribu ngozi,ni hali ya hewa ya Dodoma jua ni kali mno hadi ngozi ya utosi inababuka.
 
Kweli sio maji yanayo haribu ngozi,ni hali ya hewa ya Dodoma jua ni kali mno hadi ngozi ya utosi inababuka.

Si sababu kama wanao ishi jangwa la sahara na huko nchi za kiharabu mbona wapo vzuri pale kuna nini
 
Kama jua hata wale wa jangwa la sahara na dubai wangekuwa vipofu wengi kwa nini hapo dodoma pako hivo
Si jamaa kagusia uwepo wa uranium?...au kule Sahara na Dubai pia ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…