Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Aisee..Duu 1977 mkuu sa hv utakuwa unakaribia 55+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..Duu 1977 mkuu sa hv utakuwa unakaribia 55+
Shida ya maji ipo palepale.Hivi Dodoma kwa sasa kuna maji ya kutosha? Nakumbuka nilishawahi kuoga maji kwenye beseni la kunawia mikono nilipomtemblea jamaa yangu aliyekuwa anaishi eneo la Makole mwaka 1977!
Old Is GoldDuu 1977 mkuu sa hv utakuwa unakaribia 55+
nileteeeni gwajimaaaaHapo Ndiyo Dodoma Maji Yanatoka Mzakwe Kwenye Visima Vya Kuchimba. Kuanzia Nguo Kuoga Ni Changamoto
Ukiogea Ngozi Unazeeka Haraka Uliyosema Ni Kweli Tupu
Mkoa Ambao Una Ujanjaujanja Tu Wa Wanasiasa Una Shida Hizo
Yaani Asubuhi Mchana Jioni Sura Zimepauka, Maji Hayo
Nguo Ndiyo Usiseme!!!!!
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😂😀😅😄😄😐😐
ChatoIla Jiwe muhuni kwelikweli sijui msubi wa wapi
[emoji3]Duu 1977 mkuu sa hv utakuwa unakaribia 55+
tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno
Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho inakuwa kama ina mba (ugonjwa wa ngozi).
Ngozi - mapele yanakutoka na siku nyingine ukiamka unaamka na vinundu baada ya siku chache vinakauka , pia swala la ngozi kubauka ni swafi sana na kawaida sana.
Nilikuwa na wazo la kutafuta eneo la kuweka hekalu la maana huko makao makuu, sasa itabidi nifanye tafakuri ya kinaUtafiti mdogo japo hata mimi sijaweza kupata data kamili,dodoma ina asilimia fulani ya madini ya uranium ambayo yapo mbali na hatuitaji kuchokoza na baazi ya visababishi vya uraniumi moja upofu na hili la ukoma asilimia kubwa ni dodoma labda kitaalamu tuchunguze kuna nini pale kwa nini idadi ya watu wanao pata haya utokea kule japo kutakuwa na sababu zengine
Na kwa taarifa yake, kama ndio kahamia, baada ya miaka mitatu hadi minne ataanza kuvaa miwani!Utafiti mdogo japo hata mimi sijaweza kupata data kamili,dodoma ina asilimia fulani ya madini ya uranium ambayo yapo mbali na hatuitaji kuchokoza na baazi ya visababishi vya uraniumi moja upofu na hili la ukoma asilimia kubwa ni dodoma labda kitaalamu tuchunguze kuna nini pale kwa nini idadi ya watu wanao pata haya utokea kule japo kutakuwa na sababu zengine
Na kwa taarifa yake, kama ndio kahamia, baada ya miaka mitatu hadi minne ataanza kuvaa miwani!
Jua la Dodoma linaozesha macho![emoji2][emoji2][emoji2] ...hutaki unaacha!
Kweli sio maji yanayo haribu ngozi,ni hali ya hewa ya Dodoma jua ni kali mno hadi ngozi ya utosi inababuka.Shida ya maji ipo palepale.
Sasa hivi ni mwendo wa mgawo tu jiji zima! Na huu mgawo umeanza toka August!
Dodoma yakijinga sana tunaishi basi tu, ila huyu mleta uzi aliyesema ukiogea ngozi inaharibika si kweli atakuwa na ngozi mbaya au kavu.
Kweli sio maji yanayo haribu ngozi,ni hali ya hewa ya Dodoma jua ni kali mno hadi ngozi ya utosi inababuka.
Si jamaa kagusia uwepo wa uranium?...au kule Sahara na Dubai pia ipoKama jua hata wale wa jangwa la sahara na dubai wangekuwa vipofu wengi kwa nini hapo dodoma pako hivo
Za muda huu wakuu wa mambo
Moja kwa moja kwenye mada, tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno
Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho inakuwa kama ina mba (ugonjwa wa ngozi).
Ngozi - mapele yanakutoka na siku nyingine ukiamka unaamka na vinundu baada ya siku chache vinakauka , pia swala la ngozi kubauka ni swafi sana na kawaida sana.
Sijui kwa wengine ila kwangu imekuwa hivo.
NB. Peroxide ni breaching agent, kwa wale wa penzi wa series turudi nyuma kidogo enzi hizo season one prison break pale Michael Scofield anapo jipeleka fox river kumtoa kaka yake Lincoln sasa katika strategy zake itatokea njia ya kutolokea walibadilisha pipe system kwahyo ilibidi wapitie kwenye psych ward(wodi ya vichaa) na magandwa yao yalikuwa meupe na kina scofield walikuwa wanavaa nguo za blue ndio hapo idea inakuja atatumwa flanklin (c-note) kwenda kuiba peroxide ili wazi breach zili nguo zao za blue ziwe nyeupe.
Nimalize kwa shukrani.
Dodoma ule mji hapana jua linachoma Hadi akili haifanyi kazi.Na kwa taarifa yake, kama ndio kahamia, baada ya miaka mitatu hadi minne ataanza kuvaa miwani!
Jua la Dodoma linaozesha macho![emoji2][emoji2][emoji2] ...hutaki unaacha!
😀😀😀 na bahati mbaya uwe unafanya kazi za "site" zaidi ya zile za ofisini!...utasimulia😀Dodoma ule mji hapana jua linachoma Hadi akili haifanyi kazi.