Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?


Mkuu la msingi upo hapa Jf unaandika uzi huna pressure. Kuna Wanaume wako kazini 7/24/365. endelea kuinjoy Life. TZ huru.
 
Mkuu hayo mafurushi mengi ni ya nini wataweza kweli kwenda nayo vitani au ni maalum kuonesha wanaweza kubeba mizigo mizito?
Huyo aliebeba furushi kuubwa ni commando majini, kabeba mpaka boti humo akilifungua linajaa tu upepo yupo full equiped.

Alievaa maroon , ni commando nyika hana vitu vingi.
 
Kinachofanya uimara waa hawa jamaa ni experience na battle field

Wenzetu US..taliban..russia..etc
Wako kwenye battle maisha yao yote wanapata uzoefu wa hali ya juu huko

Sis huku practicles hatuna..so huwe fananisha hao watu wawil hata siku..anaefanya kwa uhalisia kabisa lazima awe nondo...

Ila mtu huyo huyo ukimchkua ukimpeleka kwenye mazoez ya mafunzo na hao wenzetu wa huko ngambo.atawatoa nishai asubuh kweupe..hao wabongo ni nuksi kwel

Kuna m1 ni mshikaj wa mshikaj wangu...ukimuona hiv .ni ostaz flan...anakunywa sana pombe ila...

Kuna siku nikapewa stori yake sikuamini...jamaa anashinda sana kongo..darfur huko..huku akija anakuja pumzika tu...hana mke hana watoto ma.mae....hana mwil mkubwa..ila ni komando wa jwtz....hyo stor hata nikikupa hapa utasema ni stor za vijiwen
 
Isije ikawa unanizungumzia mimi!
 
Kwa kuzingatia ukanda tuliopo, utamaduni wetu, elimu zetu, na teknolojia yetu wapo vizuri..lakini tukiwalinganisha na wenzetu tuko nyuma sana..kuna jamaa yangu ni classmate wangu tuliemaliza nae kidato cha nne...ingawa huonekana kuwa ni siri lakini alijitahidi kunipa vielelezo vya kutosha kuwa yeye ni komando..sikumbishia kwakuwa alinionesha na missions ambazo ameshiriki pamona ya units zake...lakini kwa ujumla hawana viwango vya kushangaza.....
Hata hivo sina uhakika kunakipindi wakati dk.rose migilo yupo UN ilivuma kuwa alikuwa akiwapa promo hawa ndugu zetu wa jwtz ili wapelekwe lebanon kwenye mission za UN Kikwetu hayo tunayaita mapande kwani $$$ wanazolipwa si haba..lakini ilivuma kuwa kule lebanon ndugu zetu walikuwa wana pukutika kizembe mzee jk w pili akamkataza yule mama asiwaombee nafasi vijana kupelekwa kule...

Sasa kama ni kweli najiuliza inamaana wale jamaa wa mashariki ya kati wako vizuri sana au vijana wetu wamezoea kombolela ya vichakani na kwa bahati mbaya wakakuta kule ni kujificha nyuma ya ukuta au kwenye mawe ya jangwani...?
 
Hili la komandoo wa kibaha kumuua huyo polis kwa ngumi moja ni kweli na huyo polis alikuwa mtata haijawahi tokea
Noma sana, alikua mtata wa vurugu tu, au pia ngumi alikua anaziweza vyema?
 
Shemeji yako ameshapika uji nenda ukanywe, ukojoe ulale.... maana movie za kizungu zimeshakubrainwash akili zako...

Hivi hujiulizi tu vita vilivyopiganwa enzi za uhuru watu wanakuja na bundiki na mababu zetu wanapigana na mikuki na mishale na wakachezea kichapo... soma historia... vita ni mbinu. Whether uko simple or complicated, well trained or little trained....
 

Kwakuwa tu umeshiba na simu yako ina bundle
Watu hawalali ili kuhakikisha wewe unalala salama na demu wako ndio maana una amani ya kuandika huu utoto hapa.
 
Kiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali sana.
Angalia akili za ma PC wa police kazi kupasi nguo na starch ndicho unajua tatizo movie mnazo angalia komando Hawa wamefanya mengi nchi hii Hamza tu aliwatoa jasho
 
Sasa hivi vita haipiganwi kwa mtutu. Kuna biological war na psychological. Toka huko kwenye mifumo ya zamani haitakusaidia
 
Vita ya mtutu imepitwa na wakati
 
Huyu aliyeleta mada ana tatizo la akili.

Competent ya wanajeshi inapimwa kwa kuwa simple tu?

Halafu unazungumzia eneo la "battle".

Sasa hapo uwanjani kulikuwa na battle?

Anyway...nenda kawajaribu uone umahiri wao!
Attack content not person
 
Katika kamandi watu wa aina zote wanahitajika. Wee unafikiri ukiwa slim na mlaini kama miss utaingia kwenye US Army?? Au jeshi la Russia?
Mbona huko kuna akina dada wengi sana?

Wenzetu washahama kwenye matumizi ya nguvu kubwa.
 
Hata South Africa huwezi fananisha na Tz.

Ni aibu kucompare vitu vya Tz na nchi za nje kama za Ulaya.
 
Wapi nimesema kuwa slim na mlaini kama miss?!!ni afrika pekee ndio bado wanaamini kuwa ili uwe mwanajeshi shupavu lazima uwe na mwili nyumba!!angalia ulinzi wa marais wa afrika na huko kwa wenye akili, mlinzi anakuwa kama lisanamu
Nje ya nchi wanajeshi wanawake ni wengi tu, sasa unaweza ukategemea mwanamke kwenye matumiz ya nguvu. Umemweleza ukweli kuwa wenzetu wameshahama huko kwenye matumiz ya nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…