Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Jeshi letu liko imara, na tuna imani nalo.
Kuanza kutilia mashaka Jeshi lako ni upungufu wa uzalendo pia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Jeshi letu liko imara, na tuna imani nalo.
Kuanza kutilia mashaka Jeshi lako ni upungufu wa uzalendo pia mkuu
Kweli CDM ni chama cha kigaidi.Commando wanapigwa makonzi na polisi wenye elimu za darasa la saba hadi wanaomba msamaha uwalinganishe na makomandoo wa nchi za wenzetu kweli? Kwa ufupi nchi hii haina makomandoo bali tuna wasanii waliojificha kwenye kivuli cha makomandoo
eti SEAL sio nini?!....jf imejaa vilaza sana siku hizi.SEAL sio commandos wale ni special elite force tu ila wanafunzwa na makomando So you can imagine if SEAL wapo ile Je hao commandos wao wapoje ... m,arekani wana elite force zaidi ya SEAL
Unatambua umri wangu hadi ufikie kuniita kijana acha wehu inzi wa kijani wewe, nahisi utakuwa unechanganyikiwaKweli CDM ni chama cha kigaidi.
Kimeharibu sana vijana
Duu nimecheeka kwa sauti tena ofisini duu mnamatusi nyie watu. Kiboko yao TANPOL.Kiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali sana.
Commando ni special training wanayopewa maaskari, SEAL team na vitengo vingine sio training ni vitengo vya kufanyia kazi tu. Hata commando training nako kuna vitu vingi pia kulingana na utakako enda kufanyia kazi but the basic training is the same.eti SEAL sio nini?!....jf imejaa vilaza sana siku hizi.
Commando wa jwtz wapo na mafunzo ya hali ya juu na hua wanafanya mazoezi ya pamoja na navy seal na hata hivi karibuni walifanyaNilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.
View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
Nchi ikichafuka atakimbiza kinyeo kwa hao hao anaowadharau😂Kijana acha dharau jifunze kuheshimu vya kwako
ukitaka kuwajuwa wajaribu uone hao siyo kina adamooNilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita?
Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field, nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana, kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.
View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
angalia dakika ya 3:06 jamaa anavyohema 🤣 🤣 🤣
Mpaka leo sielewi itakuaje komandoo kuchapwa makofi na raia mkakamavu kingai, na ikaisha hivihivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Hawa si walikua wanalia juzi tu wanekamatwa na polisi ?
Vuta picha labda wangekamatwa na wajeda wa russia ingekuaje
Mkuu acha masihara yani teke moja la tako akafa au alipigwa makende😂labda uko sahihi ila kuna polisi mmoja Temeke alimshika mke wa komandoo makalio polisi alipigwa teke moja tu kafa. ..Kibaha kuna polisi mmoja bar alimletea komandoo dharau ngumi moja tu kafa. ...ukamataji wa komandoo lazima uende na troop ya kutosha Jumanne na Kingai siyo mafala mkuu waende wenyewe
Hao makomandoo waliokamatwa na jeshi ni kwamba hawakutaka kuonesha skills zao ama?😂Afande Goodluck Minja kawapigisha push-up tu akina Ling'wenya pale Central wanalialia kuteswa!😁.
Je wangepitia doso kwa wale jamaa wa Guantanamo Bay?
Muuni kakamata “UZZI”Naipenda nchi yangu lakini hili kwa kweli ni aibu sana.
Kuna mada nilishwahi kueleza kuhusu teknolojia kubwa na sayansi mara nyingi zinaanzia jeshini kisha kuja kwa wananchi baadae kama itakuwa sio ya kivita.
Serikali isipokuwa makini kuweka bajeti kubwa ya jeshi katika elimu inayojikita kwenye teknolojia na sayansi.
leo ndio matokeo yake
View attachment 2038921
View attachment 2038922
Hahahaha alipigwa goroli mbili muhimu zaidi duniani akazima mazimaMkuu acha masihara yani teke moja la tako akafa au alipigwa makende[emoji23]
Watu wajinga humuCommando wa jwtz wapo na mafunzo ya hali ya juu na hua wanafanya mazoezi ya pamoja na navy seal na hata hivi karibuni walifanya
Kubeba mizigo mizito ni Mojawapo ya mazoezi .
Na isitoshe hawawezi kuonyesha kila kitu mbele ya halaiki Wengine wanaweza kuwa maadui .
Still ni commandosSEAL ni kokosi maalum
wanaofanya mafunzo ya kupigana kutokea baharin SEA angani AIR na àrdhini LAND (SEAL) ndio maana wanaitwa hawa jamaa wana kuwaga na mission maalum vitan mfano kuokoa mateka, kumtungua /kumkamata mtu wanae mlenga ,msaka hawa jamaa sio marine troops.
Hata Tz tunao elite forces lkn sio commandos