Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Naipenda nchi yangu lakini hili kwa kweli ni aibu sana.

Kuna mada nilishwahi kueleza kuhusu teknolojia kubwa na sayansi mara nyingi zinaanzia jeshini kisha kuja kwa wananchi baadae kama itakuwa sio ya kivita.

Serikali isipokuwa makini kuweka bajeti kubwa ya jeshi katika elimu inayojikita kwenye teknolojia na sayansi.
leo ndio matokeo yake
IMG_2797.jpg

IMG_2774.jpg
 
Mbinu za kupigana vita ni nyingi, zingine unaweza kumsambaratisha adui mwenye silaha kali zenye teknolijia na sayansi ya hali ya juu asiweze kuzitumia silaha zake hata kidogo
 
2017: 14 waliuawa DRC

2013: 7 waliuawa Sudan Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

Anza na hizo hapo...
Alafu inasemwa kwamba JWTZ hawapendi sana kujihusisha na missions za kimataifa...
Juzi hapo tu Cabo Delgado, Mozambique tukashindwa kutimiza majukumu yetu tukamuachia Rwanda.
Ukisoma habari 14 waliouwawa hakuna mahali wamestate ni makomando. Hawa ni regular infantry unit ya kulinda amani. + ilikuwa ni ambush. So check your facts man


Ukisoma habar 7 waliouwawa in state walikuwa 37 wakisindiza msafara wakapigwa ambush. But hawa hawakuwa makomando. Hakuna mahali wame state ni makomando
Ni regular infantry walienda kwa mission ya kulinda amani.

Pili kama ww unategemea kwenda uwanja wa vita bila kupoteza mtu.. hujui true nature of war

Bado ujaleta actual info za kikosi cha makomando. Idadi za mission walizoshiriki, mafanikio na walizofeli ngapi.
 
makomandoo wanatekwa na polisi , hahaaaaa nchi ngumu sana hii, kwahiyo polisi wako vyedi kuliko wao? hahahaa hatari sana , nadhani ni makomandoo wa maonyesho tu sio real, maana nijuavyo mimi wale ni nyara za nchi kama wamaiva kweli na hawatolewi kamwe kazini maana ni balaa, sasa hapa kwetu wakipata malaria kidogo ikiingia kichwani fukuza wakalime duh!
 
Hakuna silaha na teknolojia kubwa kuzidi NIA, UZALENDO, USHIRIKIANO na UMOJA.

Unaweza kuwa na kila kitu na bado UKAPIGWA.

Iddi Amini alikuwa na silaha zote za kisasa na ndege za kijeshi alizopewa na Gaddaf lakini alipigwa na JWTZ.

Sultan aliondolewa Zanzibar kwa silaha za marungu na mashoka tu.

Jeshi la US limeshindwa vita huko na Taleban, Je, Taleban wana teknolojia nzito na za kisasa kuzidi US Army?

Ila wabongo wanachonga kama chuchunge aiseeee.

Wanaongeaaaaaaaa

Wanajua kila kitu

Wanaongelea kila kitu.
 
Naipenda nchi yangu lakini hili kwa kweli ni aibu sana.

Kuna mada nilishwahi kueleza kuhusu teknolojia kubwa na sayansi mara nyingi zinaanzia jeshini kisha kuja kwa wananchi baadae kama itakuwa sio ya kivita.

Serikali isipokuwa makini kuweka bajeti kubwa ya jeshi katika elimu inayojikita kwenye teknolojia na sayansi.
leo ndio matokeo yake
View attachment 2038921
View attachment 2038922
CC Detective J
 
kwa nini unadhalau wanajeshi wa Taifa lako mbona North korea wanalo jeshi linalovunja tofauti, kukunja Nondo na Vitu vingi hufanya ambavyo vikifanywa na jeshi letu mtu anaanza kudhalau.

Unaanza kusifia Seal Team Six unajuwa bajeti yao ni shilling ngapi?
Mhhhh!!!!, Point hii Mwanangu.
 
Mkuu heshimu proffesion za watu
Unatype kwa uhuru kbsa sababu ya uwepo wa vyombo vya usalama
,Wewe una uzoefu Gani na mambo ya usalama mpaka uwe na uwezo wa kupima competence ya jeshi?
Kaangalia movie za kivita
 
Back
Top Bottom