Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita?

Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field, nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana, kwanza wako simple tu.

Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
Tofauti ni kwamba jwtz ni ilikua maonesho na iyo picha ya seal team wapo kwny operation maalamu
 
Still ni commandos
unajua literature za maswala ya jeshi zina pishana hapa , wapo wanao sema hawa jamaa ni makomando, na zipo literature zinazo sema hawa jamaa ni special elite force kuangalia historia ya kuanzishwa kwake hiki kikosi miaka ya zamani ..to me hawa jamaa ni special elite forces na tangu kuanza kutambulika kwake kume influence mataifa mengi dunian na wao kuwa na special elite force wa namna hii wanao pewa mafunzo ya kikomando ...Asante
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita?

Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field, nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana, kwanza wako simple tu.

Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
Mpumbavu wewe, nenda basi wewe kabebe hayo mafurushi kama utaweza!
 
kwa nini unadhalau wanajeshi wa Taifa lako mbona North korea wanalo jeshi linalovunja tofauti, kukunja Nondo na Vitu vingi hufanya ambavyo vikifanywa na jeshi letu mtu anaanza kudhalau.

Unaanza kusifia Seal Team Six unajuwa bajeti yao ni shilling ngapi?

Unawasifia hao wamarekani, umewahi kuwasikia GURKA from Tibet?
 
Mkuu heshimu proffesion za watu.

Unatype kwa uhuru kbsa sababu ya uwepo wa vyombo vya usalama.

,Wewe una uzoefu Gani na mambo ya usalama mpaka uwe na uwezo wa kupima competence ya jeshi?
Lakini mkuu tuwe wakweli wanajeshi wetu hatuwezi kuwalinganisha na wanajeshi wa USA, ki ufanisi wa kazi, kama zilivyo fani nyingine tu, mfano udaktari, uinjinia, kwa hiyo kama ana type kwa uhuru ndio kuonyesha ubora wa jeshi?!!ni majanga mangapi hapa yanatokea wanashindwa kuyakabiri tunaambiwa hawana vifaa,?tunaomba msaada toka nje(SA)sembuse marekani!!UK,
 
Hawa JWTZ hawajawahi kutuangusha.
Si inategemea wanakutana na nani?!!tofautisha operations, mission, na vita!!au kule walikoenda kisiwani sijui moron, hata risasi moja haikufyatuliwa!!!jeshi la siku hizi sio mbavu nene, wala watu wengi bali ni teknolojia tu, wewe waangalie wanajeshi wa USA, miili midogo tu lakini shughuri yake pevu kuliko hii yenye miili nyumba!!!
 
Katika kamandi watu wa aina zote wanahitajika. Wee unafikiri ukiwa slim na mlaini kama miss utaingia kwenye US Army?? Au jeshi la Russia?
 
Mkuu ukiwa unauliza maswali ya comparison inabidi utumia akili kidogo.
Angalia kwanza picha ulizoweka. Hio ya seal team walikua either kwenye mazoezi au vitani na hio ya JW walikua kwenye maonesho.

Pili kuangalia ubora wa majeshi kuna vitu vingi vya kuangalia. 1. Budget 2. Experience.
Seal team wana budget kubwa hivyo hata training yao inakua nzuri zaidi pia wao wanakua equipped na the best and latest hardware available sababu ya budget nzuri. Ndio maana hata mizigo yao inaweza kuwa midogo.

Kuhusu experience hao seal team wanapata real battle experience sababu nchi yao constantly iko vitani. Sisi tofauti na misheni na UN hatujawahi kuwa na vita tangu 78..

Kingine kwa akili ya kuvukia barabara tu huwezi fananisha jeshi la US na TZ
 
Afadhali umemweleza kwa uwazi ili akili yake ifunguke. Anafanya ulinganifu kwa vitu ambavyo huwezi linganisha
 
Katika kamandi watu wa aina zote wanahitajika. Wee unafikiri ukiwa slim na mlaini kama miss utaingia kwenye US Army?? Au jeshi la Russia?
Wapi nimesema kuwa slim na mlaini kama miss?!!ni afrika pekee ndio bado wanaamini kuwa ili uwe mwanajeshi shupavu lazima uwe na mwili nyumba!!angalia ulinzi wa marais wa afrika na huko kwa wenye akili, mlinzi anakuwa kama lisanamu
 
Nenda kawachokoze kwanza.

Kuhusu kuwa na miili mikubwa hujui kuwa maumbile ya mwanadamu yanatofautiana?
 
kwa nini unadhalau wanajeshi wa Taifa lako mbona North korea wanalo jeshi linalovunja tofauti, kukunja Nondo na Vitu vingi hufanya ambavyo vikifanywa na jeshi letu mtu anaanza kudhalau.

Unaanza kusifia Seal Team Six unajuwa bajeti yao ni shilling ngapi?

Mkuu hayo mafurushi mengi ni ya nini wataweza kweli kwenda nayo vitani au ni maalum kuonesha wanaweza kubeba mizigo mizito?
 
Kuna watu wana dharau mpaka unatamani wasiendelee kuishi.

Mpaka leo ndani ya miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na fujo wala uvunjifu wa amani.

Umeshawahi kujiuliza swali hilo na kujua kwanini?
Nijibu hilo swali huku mimi nikikwambia kwanini.

sababu ya watu na jeshi makini linalokulinda masaa 24 milele.
Unalala unaamka na kushinda na smartphone mchana kutwa sababu yao.
Na wala husikii milio ya milipuko ya mabomu na vishindo vya risasi sababu yao vilevile.

Alafu sharobaro mmoja anayeangalia movie kupitiliza kwenye laptop anakuja kuhoji competence ya jeshi wtf?

Na sio kila wanachofanya watu weupe ni sahihi au cha kuiga.
Hii inathibisha akili finyu na inferiority complex ya mwafrika.

Mimi ningekuwa mwanajeshi ningeacha kazi mara moja sababu siwezi kulinda mbuzi wasio na shukrani.

No offense lakini huo ndio ukweli.
 
Kazi ya jeshini nayo niyakujisifia mbele ya watu, kwa ufupi bado tupo stone age hili jeshi lenu linapaswa kufumuliwa na kuwa advanced liendane na kasi ya teknolojia. Hili jeshi lina kitu gani cha ziada kulizidi jeshi la Rwanda?
Kwanini ndani ya miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na vita wala uvunjifu wowote wa amani ulio sababisha maelfu ya vifo vya watanzania?

Nijibu hilo swali mkuu.
 
Nashangazwa sana na ubora wa polisi dhidi ya makomandoo wa JWTZ...
Hata ripoti nyingi zinaonesha wakienda foreign missions bado hawana ujuzi wa medani!!
So kifupi wana uwezo mdogo... kama wanabisha waombe friendly war...
Friendly war?

Mkuu wahi hospital mara moja.
 
Back
Top Bottom