Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Mkuu hayo mafurushi mengi ni ya nini wataweza kweli kwenda nayo vitani au ni maalum kuonesha wanaweza kubeba mizigo mizito?
Hahahahaha yaani mafurushi sijui wametia nini, kwa kweli napata mashaka na wakufunzi wa hawa vijana wetu.
 
Unafahamu kuwa kuna nchi hazina majeshi na zina amani kuliko Tanzania yenye vikosi vingi vya usalama wa nchi?
 
Kwanini ndani ya miaka 60 Tanzania haijawahi kuwa na vita wala uvunjifu wowote wa amani ulio sababisha maelfu ya vifo vya watanzania?

Nijibu hilo swali mkuu.
Kuwepo kwa vita kunaashiria kuwa uimara au udhaifu wa jeshi ndani ya Taifa lolote lile?
 
Tunatofautiana kiteknolojia ila kawajaribu ndio utajua hujui usimtukane mamba kabla hujavuka ng'ambo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Huyu aliyeleta mada ana tatizo la akili.

Competent ya wanajeshi inapimwa kwa kuwa simple tu?

Halafu unazungumzia eneo la "battle".

Sasa hapo uwanjani kulikuwa na battle?

Anyway...nenda kawajaribu uone umahiri wao!
Gaidi Kingai anatosha kuwapima
 
Muda mwengine ni akili ya vita. Tungeingia sisi pengine wangeingia kwetu kwa urahisi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza kama nchi nyenginezo. Ila Rwanda iko mbali. Mbali na hivyo si lazima kila kitu ujue.
Umejibu kirahis rahisi sana.
 
Kwa maelezo haya naona yana akisi kabisa uhalisia.
 
Na trainer mkuu wa jeshi la China ni nani ??
Malaika au mizimu
 
JWTZ inapigana vita kubwa. JWTZ ilipigana Msumbiji nchi nzima kumtimua mreno Msumbiji iwe huru
Hivyo vivita vidogo vya kamkoa kamoja au tuwili twa Msumbiji tunaachia akina Kagame wajifunze vita
Kati ya Tanzania na Rwanda Nani yupo karibu na Msumbiji ?, na kwa Nini Msumbiji achukue Kesho la Rwanda na kuacha la Tanzania ? Jibu ndugu yangu.
 
Mbona huko kuna akina dada wengi sana?

Wenzetu washahama kwenye matumizi ya nguvu kubwa.

Wakiwa wa dada haimaanishi kuwa ni walaini. Tofautisha wanawake wanaoshindania urembo na wanawake wanaohudumu kwenye jeshi. Ni makundi mawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…